Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s

Umri aint nothing in a Mariage purpose..Binadam wote tumeumbwa in Pairs hao wanawake ata wakifika 45 years kama wameandikiwa Ndoa wataolewa tu..its matter of Qadar kama uliandikiwa Ndoa utaipata..!!!
 
Umeeleza jambo linalogusa sana mkuu Teslarati , wanawake wengi huwa hawaangalii mbali, mfano anapata mwanaume mwingine alafu anamu-undermine mwanaume mwingine anayemfuatilia tena sometimes kwa kumuonesha dharau. What goes around comes around. Mbeleni anakuja kubwagwa ndio anamkumbuka yule mwanaume aliyemdharau siku za nyuma na kujuta jinsi alivyomdharau. Nina hakika huyo mwanamke anakutamani sana hivi sasa na kujuta kutokana aliyoyapitia. Alafu ni kweli mkuu huyo dada ana degree alafu ameajiriwa katika counter ya bar? Kama ni kweli basi hakuna hajuae kesho yake, biinadamu tuache majivuno.
 
kwahiyo mkuu toughlendon_1 unasema mwanamke akishafika umri wa miaka 30 bila ndoa anakosa furaha? huyo wa 23 unahisi nini zaidi kilichomuogopesha hadi akatubu na kutubu? sababu umri wake bado ni mdogo hata 25 hajafikisha.
 
ana degree alafu ameajiriwa katika counter ya bar? Kama ni kweli basi hakuna hajuae kesho yake, biinadamu tuache majivuno.
Hakumaliza hio degree, jamaa baada ya kumpa mimba akiwa second year likamdanganya akaenda kukaa kwake mazima. Nasikia baadae wakazinguana ndo dem akaanza mihangaiko yake peke yake na ndipo alipokosa ramani. Nasikitikaga sana nikimuona
 
Hujaelewa topic.

Maana yangu ni kwamba hivyo vipya havitaki kutulizwa, vikishachakaa ndo vinataka kutulizwa. Huoni KE ndo wana itikadi za ajabu hapo?
 
Ukiwa na kwa dada zetu bond hujitengeneza yenyewe hataka kama ikikataa,mwanamke atailazimisha tu.Mna wimbo wenu maarufu "ni heli kuumia kwenye V8 kuliko kucheka kwenye baiskeli ".

Hivi visa vya wanaume kupinduliwa sababu walikuwa hawana kitu au walikuwa wanapitia changamoto za uchumi na kubwagwa na wanawake wao ninazo nyingi, tena nyingi za marafiki zangu wa karibu achana na nilizo zisikia.
 
Umri aint nothing in a Mariage purpose..Binadam wote tumeumbwa in Pairs hao wanawake ata wakifika 45 years kama wameandikiwa Ndoa wataolewa tu..its matter of Qadar kama uliandikiwa Ndoa utaipata..!!!
Man/Woman decides his own fate.

Mambo ya kuishi scripted life wanaamini wavivu wa kufikiri.

Endeleeni kusubiri ndoa mlizonadikiwa huku mnakataa zinazowaijia mapema usichanani
 
mkuu joseph1989 naomba utuwekee hapa hata mfano mmoja ili watu wajifunze visa vya wanawake
 
Asante
 
Hakumaliza hio degree, jamaa baada ya kumpa mimba akiwa second year likamdanganya akaenda kukaa kwake mazima. Nasikia baadae wakazinguana ndo dem akaanza mihangaiko yake peke yake na ndipo alipokosa ramani. Nasikitikaga sana nikimuona
mtu kama huyo anatia sana huruma. nahisi kuna wakati anatamani siku zingerudi nyuma alafu awe na wewe kipindi kile ndio umemaliza form six maana anajua haya yote yaliyomtokea hasingeyapata.
 
mkuu joseph1989 naomba utuwekee hapa hata mfano mmoja ili watu wajifunze visa vya wanawake
Nilishawahi kuandikaga humu mara nyingi tuu kuhusu visa vya wanangu ni story ndefu ila mwisho wa siku waliachwa wakapitia msoto nao wote poa sasa hivi.

Tena huyu mmoja alipigwa kibuti mara mbili,Mara ya kwanza chuo mara ya pili kipindi tuna hastle kitaa,huyo aliye achwa mara mbili sasa hivi anasukuma Vanguard na huyu mwengine nilikuwa napiga nae tempo, demu alimwacha baada ya kupata kazi kwenye kampuni moja ya maswala ya audit, mwana sasa hivi anakunja 2.1+m,marupurupu na mazagazaga kibao plus safari nae anasukuma Rumion.

Ila huyu mwenye Rumion naona kama analipiza kisasi ni anatembeza rungu kwa wakina dada wanao mshobokea, huyu mwenye Vanguard kaoa mwaka huu.Ila huyu mwenye Rumion sijui ataoa lini maana,anawatomb* mademu vibaya mno, ukijaribu kumshauri anakwambia "......hawa wapuuzi wameniumiza sana acha tu ni watomb*lee mbali..........".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…