Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Sawa but am not old furendSijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa but am not old furendSijui
Then who you are? 🤣Sawa but am not old furend
nichagulie wewe but not old friendThen who you are? 🤣
Me sasa si ndio nimekuchagulia hilonichagulie wewe but not old friend
🤣 UmeshindaMe sasa si ndio nimekuchagulia hilo
Hulitaki means una lako
🤒🤒🤣 Umeshinda
Utaki?
Labda Dada zake wa Rika hilo wamezeeka😂mwanamke akiwa kwenye umri wa 30s Teslarati anakuwaje mkuu? mbona rika hilo bado ni rika la kijana.
Umeeleza jambo linalogusa sana mkuu Teslarati , wanawake wengi huwa hawaangalii mbali, mfano anapata mwanaume mwingine alafu anamu-undermine mwanaume mwingine anayemfuatilia tena sometimes kwa kumuonesha dharau. What goes around comes around. Mbeleni anakuja kubwagwa ndio anamkumbuka yule mwanaume aliyemdharau siku za nyuma na kujuta jinsi alivyomdharau. Nina hakika huyo mwanamke anakutamani sana hivi sasa na kujuta kutokana aliyoyapitia. Alafu ni kweli mkuu huyo dada ana degree alafu ameajiriwa katika counter ya bar? Kama ni kweli basi hakuna hajuae kesho yake, biinadamu tuache majivuno.Haya maneno mnasemaga tu.
Miaka ya nyuma kiasi ndo nmetoka chuo nikarudi kwetu kusikilizia kazi, pale kulikua na kadem nakakubali kinoma ndo kalikua kanamalizia six kaende chuo. Yule mdada nilikua nampenda balaa na sijawah kupenda vile aisee. Dem alipoenda first year tu akawa mbogo, kidume nipo naangalia tu biashara za mzee malipo ni wali maharage wa jion na ugali dagaa wa mchana.
Nikaja kupata chance ya internship dsm nikawa naenda kukachk pale mlimani ila kananipotezea balaa, second year akapigwa mimba na rafiki wa kakaake nikaja kujua ndo alikua anakapa kiburi. Sasa hv ni counter kwenye bar fln hv hapa mjini ana watoto watatu kila mtoto baba yake.
Mabinti wachache sana wanajua maana ya true love na wachache zaidi wanajua namna ya kuspot true love, japo wanaume wengi bado wako tyr kutoa true love sema wanakua discouraged
kwahiyo mkuu toughlendon_1 unasema mwanamke akishafika umri wa miaka 30 bila ndoa anakosa furaha? huyo wa 23 unahisi nini zaidi kilichomuogopesha hadi akatubu na kutubu? sababu umri wake bado ni mdogo hata 25 hajafikisha.Ahahaha kuna huyo ana 23 nimemla mla nikamwacha anapenda mabishoo mashombe shombe juz kamfumania bishoo wake kariakoo anakula kisamvu cha mwanaume mwingine karud kutubu anatubu mpaka aanatubu tena alafu me sina habari... Anyways wa miaka 23 anaogopa wa 30 itakuwaje?... Mwanamke wangu wa Morogoro wa early thirties nimempiga chini sababu alidhan cheo na master ndio mborow saivi anashindwa hata cha kusema najua atakuja kutubu... Kauli mbiu yangu, kama kosa sio langu siwez ku apologize kamwe, hata Mungu hapendi... Miaka 30 kwa mwanamke ni maji ya jioni...
Hakumaliza hio degree, jamaa baada ya kumpa mimba akiwa second year likamdanganya akaenda kukaa kwake mazima. Nasikia baadae wakazinguana ndo dem akaanza mihangaiko yake peke yake na ndipo alipokosa ramani. Nasikitikaga sana nikimuonaana degree alafu ameajiriwa katika counter ya bar? Kama ni kweli basi hakuna hajuae kesho yake, biinadamu tuache majivuno.
Hujaelewa topic.Kuna wanaume huwa mnanifurahisha na hizo itikadi zenu za ajabu asee, yani badala ya kupambana ununue kitu kizuri na cha bei kikiwa kipya unasema eti tunavisubiri tu vishuke, sasa hamuoni kama hadi vishuke vitakuwa vimetumika sana tofauti na waliovitumia vikiwa vipya au mnadhani hivyo vikishuka bei ndio mtapata vingine vipya eh
Ukiwa na kwa dada zetu bond hujitengeneza yenyewe hataka kama ikikataa,mwanamke atailazimisha tu.Mna wimbo wenu maarufu "ni heli kuumia kwenye V8 kuliko kucheka kwenye baiskeli ".Ila wanaume mnateseka sana na mapenz😀 ndoa ni Kila mtu alivopangiwa na alivopanga na sio kilamwanaume akitak kukuoa bas sahihi Kuna ambao unaona kabisa bond haipo Yan ni mafuta na maji Bora uendelee kusubiri tu kuliko kuingia kwenye maisha usiyotarajia
Kipato sio shida ila je ana vision kunawanaume wanaoa wanaishi kwao mk anakula Kwa wazaze wake ni Bora tu anamke, asiwe na Hela sawa lkn bas hata kavision unaona kbisa hapa tunavumilia lkn tutatoboa
Man/Woman decides his own fate.Umri aint nothing in a Mariage purpose..Binadam wote tumeumbwa in Pairs hao wanawake ata wakifika 45 years kama wameandikiwa Ndoa wataolewa tu..its matter of Qadar kama uliandikiwa Ndoa utaipata..!!!
mkuu joseph1989 naomba utuwekee hapa hata mfano mmoja ili watu wajifunze visa vya wanawakeUkiwa na kwa dada zetu bond hujitengeneza yenyewe hataka kama ikikataa,mwanamke atailazimisha tu.Mna wimbo wenu maarufu "ni heli kuumia kwenye V8 kuliko kucheka kwenye baiskeli ".
Hivi visa vya wanaume kupinduliwa sababu walikuwa hawana kitu au walikuwa wanapitia changamoto za uchumi na kubwagwa na wanawake wao ninazo nyingi, tena nyingi za marafiki zangu wa karibu achana na nilizo zisikia.
Ndo mnavyojifarijigi hivi daaah aseee nimekaa 👉. 😶😶😶😶Umri aint nothing in a Mariage purpose..Binadam wote tumeumbwa in Pairs hao wanawake ata wakifika 45 years kama wameandikiwa Ndoa wataolewa tu..its matter of Qadar kama uliandikiwa Ndoa utaipata..!!!
AsanteKuna wanaume huwa mnanifurahisha na hizo itikadi zenu za ajabu asee, yani badala ya kupambana ununue kitu kizuri na cha bei kikiwa kipya unasema eti tunavisubiri tu vishuke, sasa hamuoni kama hadi vishuke vitakuwa vimetumika sana tofauti na waliovitumia vikiwa vipya au mnadhani hivyo vikishuka bei ndio mtapata vingine vipya eh
mtu kama huyo anatia sana huruma. nahisi kuna wakati anatamani siku zingerudi nyuma alafu awe na wewe kipindi kile ndio umemaliza form six maana anajua haya yote yaliyomtokea hasingeyapata.Hakumaliza hio degree, jamaa baada ya kumpa mimba akiwa second year likamdanganya akaenda kukaa kwake mazima. Nasikia baadae wakazinguana ndo dem akaanza mihangaiko yake peke yake na ndipo alipokosa ramani. Nasikitikaga sana nikimuona
Nilishawahi kuandikaga humu mara nyingi tuu kuhusu visa vya wanangu ni story ndefu ila mwisho wa siku waliachwa wakapitia msoto nao wote poa sasa hivi.mkuu joseph1989 naomba utuwekee hapa hata mfano mmoja ili watu wajifunze visa vya wanawake