Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s

Mpaka kufikia umeshusha huu uzi niwazi kuna kademu kamekukazia mkubwa 🀣🀣.
Just joking,ujumbe umewafikia
Niwe mkweli nilipanga kuweka screenshot ya convo yake leo hapa ila roho ikakataa.

Convo ya Leo ilikua kali sana, mtu mwepesi angeingia mtego kiurahisi
 
Af naona kama zimeanza kufanya kazi vile, sababu ujue sijawah take serious kabisa. Ila leo kuna mambo kaniambia asbh na mchana bado yanazunguka kichwani ndo maana nikaona hadi nipost uzi hapa labda yataondoka
Dawa ndio inaanza kufanya kazi hivyo, ukiwa na uwezo kuna vitu vifanye kwa tahadhari kubwa sana hasa kwa KE unaowaona wana interest na ndoa. Kuna umri KE akifikisha hata kwao wanampambania apate mtu aoe. Huko kumpambania kuna namna nyingi
 
Mwanaume kwenye late 20s hadi late 40s ndo anakua hot cake, Harvard Research zinasema hivo.

Wanawake wapo complicated sana hasa kuhusu mambo ya hate/like ila naona wanachukianaga sana kama mmojawapo amewazidi uzuri
ni kweli mkuu Teslarati ishu za hate and like ziko sana kwa wanawake, nadhani inatokana na wao kutawaliwa zaidi na emotion kuliko logic.
 
Dawa ndio inaanza kufanya kazi hivyo, ukiwa na uwezo kuna vitu vifanye kwa tahadhari kubwa sana hasa kwa KE unaowaona wana interest na ndoa. Kuna umri KE akifikisha hata kwao wanampambania apate mtu aoe. Huko kumpambania kuna namna nyingi
Half american inakuwaga umri gani hasa mkuu mwanamke akifika anakuwa anapambana sana apate ndoa?
 
Half american inakuwaga umri gani hasa mkuu mwanamke akifika anakuwa anapambana sana apate ndoa?
Kwa wenye matamanio ya kuishi maisha ya ndoa ikifika 28 hajapata wa kumuoa/hajaolewa basi huwa tafrani mkuu. Nayasema haya nikiwa kwenye shinikizo la kuoa binti ana 27 yrs kwao kelele zishakua nyingi ni lini utakuja, ni lini utakuja baba ila mimi mpango huo sina kwasasa na muda ukifika hatokua yeye.
 
Haha facts
 
nimepukapata vizuri mkuu Half american , ina maana wapo wanawake ambao hawana kabisa matamanio ya kuishi maisha ya ndoa? basi inaonesha mwanamke akifika umri fulani kama bado hajaolewa, chance ya yeye kuolewa inakuwa imepungua pungua.
 
Wapo wasiotamani ndoa kabisa kwa sababu wanazozijua wao.

Hiyo ipo wazi mkuu umri ndio unawaamulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…