Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s

Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s

Sitaki
Ma first lady wajane
Uwii sitaki
Hiyo ni kawaida sana na inaeleweka Mwanaume mara nyingi hutangulia kurudi alikotoka, na hakuna ambaye atadumu milele, Give him a self golden chance, huo muonekano ni jukumu lako kumbadirisha tu awe jinsi vile unavyotaka, na atakusikiliza kwa sababu anakupenda
 
Sure,

Huu ushauri Depal uchukue ufanyie lamination uwe unauangalia kila siku kabla ya kulala, Aaliyyah nawe ni bora ufanye hvo mtanishukuru baadae.

Waoaji sio masharobaro kama mnavotaka
Tunashukuru Bado tupo kwenye maombi na sio kilamwanamke anapenda mwanaume Alie na kilakitu lakini kuomba upatemtu sahihi ndo kitu Cha maana,nyumba ambayo Haina amani haiwez kuwa na mafanikio Tunaomba tupate waume wataotupenda na kutupa amani inshallah wakija sidhani km kutakuwa na kikwazo
 
Back
Top Bottom