Nyie weekend mnaenjoy wapi?

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜dah! Jamani mkuu mbona kwahiyo wapangaji haturuhusiwi kuenjoy
Yes hizo kauli ni za wapangaji , tena WA nyumba za uani , hivo hua tunawacheki na kukaa kimya maana pesa yenu ni muhimu kwa wenye nyumba hizo laki 4 kila mwezi ni muhimu Sana na hapo ulipo mwezi wa nne unatakiwa ulipe Kodi kama kawaida
 
Wewe utakuwa mchawi siyo bure๐Ÿค”๐Ÿ˜ข
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ