Nyie wenye ndoa, mliwezaje kufanya maamuzi mpaka mkaingia ndani ya ndoa?

Nyie wenye ndoa, mliwezaje kufanya maamuzi mpaka mkaingia ndani ya ndoa?

Kwanza kabisa pole mkuu kwa changamoto ya mwanamke wako wa Kwanza,lakini pili kinachokukwamisha au kuzuia kuoa Ni like kitendo kilichotokea 2018,bado unafikiria hivi hata nkioa huyo mwingine hatokuwa Kama yule?

Lakini muda mwingine ndoa huwa Ni kitu kizuri kwani pengine wewe uwazavyo au ufikiriavyo kuwa ntaishije kwa kipato hiki,unapopata mwenza mkachanganya mawazo pamoja mnaweza kufanya kitu kikubwa zaidi.

Kingine upatapo mwanamke Kama umeridhika naye kuishi pamoja mwambie mapema kuwa una mtoto na awe willing kuishi naye,(mwanamke unapomwambia kuhusu mtoto mwanzoni kabisa wa mahusiano yenu anakuwa willing tofauti na ukimwambia baada ya ndoa) All in all Mungu akufanikishe.
 
Uzi umejaa tambo za kihaya nyiingi hasa hapo namba 1 Hadi 3 haikuhitajika maelezo yote hayo, hatujakuuliza

Hili bandiko wapelekee wanaokuhimiza kuoa,
To me uoe, usioe, uolewe ama ujioe hainihusu.....
 
Am currently passing through the same situation,Yaani watu hawana kitu cha zaidi kuongea na mimi zaidi ya kuniambia bado TU,unasubiri Nini,Umri unaenda huo and ama 30 now,aisee inakela sana.
Hawataki kujua malengo ya mtu na sababu gani inafanya iwe hivo.
 
By 35 nitakua nishafunga kuzaa watoto 3 wanatosha,, anyway life is yours fanya unachoamini wewe!
Dunia iko kichwani mwangu oa oa oaaa oaaa
As if nikioa kuna kitu wanapata..!!
Sijui wanahitaji kumla mke wangu?😔😔

Hongera Mungu akulinde na ndoa yako, Ila sidhani kama nitaoa hata huo umri wa 35..!!!

Yaani naoa mke anakuta nyumba, mtoto, gari, .....
Sijui atakuja kuongeza nini?

#YNWA
 
Back
Top Bottom