Hutakiwi kuoa kwasababu ya shinikizo la watu bali kwasababu wakati sahihi umefika na umepata mtu sahihi.
Ndoa inahitaji stability kiuchumi,kifikra na utayari.Kama unajiona haupo tayari kiuchumi,usioe.Kama unajiona haupo tayari kiakili(mental stability)usioe.Usiwaolee watu oa kwasababu wewe unataka kuoa nadhani tumeelewana.Watu kusema watasema hawaachi kusema ndugu yangu,binaadamu hatuna jema.Leo huna kazi watasema huna kazi,ukiwa hujaoa watasema huoi,kama hauzai watasema hauzai,una matatizo ya uzazi,ndoa ikiyumba watapata pia la kusema.Kama haujajenga watasema na vyeo vyake vyote anashindwa hata kujenga .
Ninachokushauri mimi fanya kile nafsi yako inaridhia kwa wakati wako.Usije kufanya kitu kuwaridhisha watu ever in this life.Kila mtu ana struggle kivyake.
Vilevile usisubiri sana umri ukakuacha sana utaishia kuwa bachelor for life.
Kuwa na roho ya kuridhika kwasababu naona ur all over the place and you are too ambitious.All your achievements take time and time is moving is not always with you.So you need to move with time.Ndoa isiwe kizuizi wewe kushindwa kuendelea kupiga hatua.Unaweza kufunga ndoa na ukaendelea kuachieve zaidi na zaidi.*Phd unaweza kuchukua baadae sio lazima sasa.*Kama unaona pesa nyingi inaenda kwenye mashamba inabidi uyaache kwa sasa ili ufocus on one thing at a time.Take babysteps.Dont bite too much than what you can chew.Ndoa vilevile hufungua milango ya baraka na mafanikio.
Oa mke ambae ni muelewa na mtasaidiana, hatokuwa mzigo kwako
Kila la kheri.