Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wito wa ndoa ukoje, hebu "Define"Hatuwezi kufanana huyo ni wewe huna wito wa ndoa.
😏Ngoja nibadilike na Mimi nipate mbunye za humu..!!
#YNWA
Hayo yote uliyoyaandika juu ukijiuliza sio kikwazo cha ndoa,wito maana yake uwezo ulio juu ya mtu katika kubeba majukumu yaliyo mbele yake.Wito wa ndoa ukoje, hebu "Define"
#YNWA
Kubeba majukumu huku huna hela?Hayo yote uliyoyaandika juu ukijiuliza sio kikwazo cha ndoa,wito maana yake uwezo ulio juu ya mtu katika kubeba majukumu yaliyo mbele yake.
Habari mkuu,hapo kitu kikubwa kinachokuumiza ni past history ya huyo mwanamke wako wa kwanza,pole sana ila nakuomba jitahidi kusahau,ni kweli psychological unakua tortured,ni kama wale watoto wa Kongo wanaowaua wazazi wao kwa amri za waasi,yaani wanakua hawaoni thamani ya kuishi tena,hio ni psychology tu,jitahidi sana mkuu kusamehe yapite,kuna nguvu kubwa sana mkuu kuhusu kusamehe hasa kwa viumbe zaifu kama watoto na wanawake.Wanajamvi salama?
SAMAHANI KWA HILI ANDIKO REFU KIDOGO.
Naomba mliooa mnipe darasa kidogo. Nina Miaka 31 na nyumbani kelele nyingii ni utaoa lini? Mimi ni yatima na nimelelewa na ndugu@extended family. Tatizo lilianza pale ndugu wa kiume niliokuwa nao wotee wameoa. Na rafiki zangu wotee (wale close friends) wameoa.
Sasa bana ndugu zangu wotee kwasasa ni "NA WEWE UTAOA LINI?" Yaani ni kama movement wameianzisha kunishinikiza nioe. Sababu zinazonifanya nisite kuoa. Kwanza kabisa Mimi ni mwajiriwa wa Serikali.
1. ELIMU
Nilipanga kuoa nikimaliza bachelor (nilianza Kazi nikiwa na diploma) nilivyomaliza bachelor, nikapata fursa kusoma Masters nayo nikamaliza. Sasa hivi naona Masters haitoshi Nahitaji PhD.
Huwa nawaza vile naoa halafu namwacha mke wangu TZ mi napanda ndege kwenda kusoma PhD, sasa naoa ili niache mke alone?
2. KAZI
Niliajiriwa nikiwa very low level civil servant. Nilikua na mshahara hata Mimi haunibariki, nikawaza ""Kama huu mshahara Mimi tu haunitoshi je huyo mke atalishwa na nini, na je akileta mtoto duniani atalelewa na mshahara gani?""
Nilivyomaliza tu masters nikakaimishwa idara (kaimu mkuu wa idara).
Nilihoji utumishi Dodoma kuwa mkuu wa Idara kamili. Nilijibiwa Mimi bado mdogo kazini (period of work vs Cheo), nivumilie soon nitakua senior, hivyo nivumilie muda ukifika nitakua mkuu wa Idara kamili.
Kazini nao kila siku "We boss oa bana" Ila wasichokijua Nina mawazo tofauti, hii ofisi/Cheo nilikipata April/2020 ila kwasasa nishakichoka. Nakiona kidogo nahitaji something big. Kwasasa niko nafanya lobbying na connections ili nipate post kubwaa ofisi nyengine huko.
Pia tokea April nisha aply sanaa UN, AU, SADC na kwengine huko (Inter. Org) ili nikafanye Kazi, naiona ofisi yangu ndogo sanaa kwangu. Ila Hawa inter. Org hawajawahi kuniita hata interview jamani[emoji24][emoji24]
Sasa nawaza, ""Kwasasa akili yangu iko race na finding green pasture, huyo mke akija sasa asipo kuwa sambasamba na ndoto zangu itakuaje?""
3. INVESTMENTS
Nina uwekezaji naufanya wa project za kilimo. Nimepanda maembe, Parachichi na miti ya mbao. Na lengo langu ni kuwa na Eka 1000 za uwekezaji. Uwekezaji wangu bado ni mdogo kiumri ila ni wa eka nyingi, haujaanza kutoa return, hapa sasa ndio tatizo linaanza.
Kwakuwa mashamba yangu yotee bado yanahitaji huduma, then asilimia kubwa ya mshahara wangu unaenda Shambani. Naweza kupeleka hela yotee shambani mi nikabaki na mpaka na 50,000/= ndio inilee mwezi. Na hii ndio sababu imenifanya nipotezee marafiki, maana hawanioni Tena bar Wala starehe yoyote. Yaani nimekua bahili hasaaa, nimepiga chini pombe, kuchoma nyama na vituu vingii vya kuwa pamoja na marafiki.
Mimi ni kazini >>> nyumbani >>> shambani.
Sasa najiuliza ""Mimi na mashamba yangu mshahara haututoshi, huyu mke atalelewa na pesa gani?"" Vile anasema "baby nataka hela ya kusuka" huku kibarua nae shambani "bosi nataka hela Kazi" Hapa nani atapewa na nani atanyimwa?
4. MTOTO
Nina mtoto ila mimi na mama ake hatukufanikiwa kufika mbali, baada ya kudumu miaka mi3. Nilikuja kumfumania akigongana na mchungaji wa Kanisa langu KKKT baada ya Mimi kurudi kutoka safari ghafla. Aisee niliumia balaa yaani kitandani kwangu na mchungaji wangu. Niliwaambia tu ""mkimaliza muondoke""
Nilirudi nje nikasepa, nilivyorudi sikuwakuta, ilikuwa 2018. Yule mwanamke aliomba msamaha sanaaa, nikamwambia "ili nikusamehe katoe USHUHUDA kanisani juu ya mchungaji" alishindwa ndio ikawa mwisho wetu.
Na yule mchungaji alihamaga usharika wa huku. Tena Kuna siku niliiona post FB ana hubiri kuhusu vijana tuoe, nilimshangaa yule mbwaaa. Nikionaga vile watu Wana comment video zake za mahubiri wakimtukuzaa dah huwa nachoka sanaa na hawa wachungaji.
Then mtoto nipo nae sanaa, mama ake yupo DSM anapambana na maisha, mwaka jana nilitumiwa sms na mdogo ake "shemeji" kuwa mama mtoto/dada ake kaamua kubadili dini na kuolewa na shekhe.
Nilimwambie tu amwambie ""maisha mema"" Hii ndio ikiwa chatting ya mwisho na ukoo wa mama wa mwanangu. Sina mawasiliano nao yoyotee tokea 2018. Nampenda sanaa mwanangu. Sasa nawaza ""Mwanamke gani atakuja kwangu tuishi na yeye ampende mtoto asiye wake?""
5. MIFANO
i. Nina watu wengi wa karibu, yale waliyopanga hayakufanikiwa baada ya kuoa.
ii. Nina rafiki zangu tuliajiriwa wote tukapanga kurudi Shule, ila tokea waoe MIPANGO IMEKUFA. Nilirudi Shule pekee yangu wao hawakurudi.
Yaani marafiki zangu wengi sanaa wameacha mipango yao mingi kuitekeleza baada ya kuoa. Kipindi kile kabla hawajaoa nikiwa nao bar, dah walikuwa na plan nyingi ila walivyooa tu SIONI UTEKELEZAJI.
Hili LINANIOGOPESHA.
iii. Watu wengii wanaonizunguka naona tu wanalalamika na ndoa zao tuu.
iv. Wake za watu kazini na nilivyokuwa chuo niliona wanagongwa sanaa.
Yaani kifupi, wanawake wengi ninao wajua na niliowahi kuwa nao karibu ambao wanaishi mbali na waume zao kwasababu yoyote wanagongana na vijana wasio na ndoa na wenye ndoa wenzao.
Sasa nyie mlioa, MLIWEZAJE KUJITOSA KWENYE NDOA NA MIPANGO YENU IKADUMU. VIJANA TUENDELEE KUZALISHA SECONDARY SOURCES OF INCOME.
Mbinu za UTAJIRI ni UBAHILI.
#YNWA
[emoji16][emoji16]kuna wanawake wanafunga uzazi wakiwa na miaka 26......vijijini huku,dah wakati mi baba yangu alinizaa akiwa na 40+,.......duniani hatujaletwa kushindana......kikubwa mipango yetu isitupeleke kwenye zambi na kuvunja sheria kwa makusudi........time is relative to yourself and not other......wapo waliooa/kuolewa na miaka 20 lakini masikini wakutupwa kiasi matoto wamekua machokoraa wapo pia waliooa/kuolewa na miaka 40,masikini wa kutupwa watoto machokoraa......ila pia kinyume chake kinaweza tokea.......narudia tena,hatukuumbwa kushindana dunianiBy 35 nitakua nishafunga kuzaa watoto 3 wanatosha,, anyway life is yours fanya unachoamini wewe!
Wapo sahihi kwa muktadha wao.......binadamu hatuiangalii dunia wote sawa,kwa namna moja.......miaka 60 Tz mtu anastaafu Kazi.......u.s miaka hiyo mtu anagombea uraisi hana habari,imagine doctor wa Biden ana miaka 80,....yaani hana habari..........time is relative to yourself and not anotherAm currently passing through the same situation,Yaani watu hawana kitu cha zaidi kuongea na mimi zaidi ya kuniambia bado TU,unasubiri Nini,Umri unaenda huo and ama 30 now,aisee inakela sana.
Hawataki kujua malengo ya mtu na sababu gani inafanya iwe hivo.
Mkuu unahisi kua na nyumba,gari ndio unakua umeshamaliza kila kitu duniani......nashauri ondoa hii mentality.........nyumba ni lazima kila binadamu aishi pazuri,gari ni means tu ya transport,......na sidhani kama ina uhusiano na mapenzi/ndoa.........Yaaani katika maisha take it easy,..........ni kama mtu anaejisifi anamiliki smartphone,au nguo mpya......wakati ideally ailibidi ajisifu purpose ya hizo items kusimplify maisha......lakini yeye anaona ndio utajiri wenyewe huu[emoji16][emoji16],......human resource ana umuhimu wake naye afananishwi na material resources.......take it easy.......invest for betterment of world......Dunia iko kichwani mwangu oa oa oaaa oaaa
As if nikioa kuna kitu wanapata..!!
Sijui wanahitaji kumla mke wangu?[emoji17][emoji17]
Hongera Mungu akulinde na ndoa yako, Ila sidhani kama nitaoa hata huo umri wa 35..!!!
Yaani naoa mke anakuta nyumba, mtoto, gari, .....
Sijui atakuja kuongeza nini?
#YNWA
Ukikuta siyo mama wala Baba yako anataka uoe jua anakosa maslahi kwako Kwa kuwa huna mke , na anajua ukipata mke possibly maslahi yake atapataDunia iko kichwani mwangu oa oa oaaa oaaa
As if nikioa kuna kitu wanapata..!!
Sijui wanahitaji kumla mke wangu?[emoji17][emoji17]
Hongera Mungu akulinde na ndoa yako, Ila sidhani kama nitaoa hata huo umri wa 35..!!!
Yaani naoa mke anakuta nyumba, mtoto, gari, .....
Sijui atakuja kuongeza nini?
#YNWA
Nikupongeze walau kwa kuona ni bora uulize mambo yakoje humu ndani kabla ya kuingia,Wanajamvi salama?
SAMAHANI KWA HILI ANDIKO REFU KIDOGO.
Naomba mliooa mnipe darasa kidogo. Nina Miaka 31 na nyumbani kelele nyingii ni utaoa lini? Mimi ni yatima na nimelelewa na ndugu@extended family. Tatizo lilianza pale ndugu wa kiume niliokuwa nao wotee wameoa. Na rafiki zangu wotee (wale close friends) wameoa.
Sasa bana ndugu zangu wotee kwasasa ni "NA WEWE UTAOA LINI?" Yaani ni kama movement wameianzisha kunishinikiza nioe. Sababu zinazonifanya nisite kuoa. Kwanza kabisa Mimi ni mwajiriwa wa Serikali.
1. ELIMU
Nilipanga kuoa nikimaliza bachelor (nilianza Kazi nikiwa na diploma) nilivyomaliza bachelor, nikapata fursa kusoma Masters nayo nikamaliza. Sasa hivi naona Masters haitoshi Nahitaji PhD.
Huwa nawaza vile naoa halafu namwacha mke wangu TZ mi napanda ndege kwenda kusoma PhD, sasa naoa ili niache mke alone?
2. KAZI
Niliajiriwa nikiwa very low level civil servant. Nilikua na mshahara hata Mimi haunibariki, nikawaza ""Kama huu mshahara Mimi tu haunitoshi je huyo mke atalishwa na nini, na je akileta mtoto duniani atalelewa na mshahara gani?""
Nilivyomaliza tu masters nikakaimishwa idara (kaimu mkuu wa idara).
Nilihoji utumishi Dodoma kuwa mkuu wa Idara kamili. Nilijibiwa Mimi bado mdogo kazini (period of work vs Cheo), nivumilie soon nitakua senior, hivyo nivumilie muda ukifika nitakua mkuu wa Idara kamili.
Kazini nao kila siku "We boss oa bana" Ila wasichokijua Nina mawazo tofauti, hii ofisi/Cheo nilikipata April/2020 ila kwasasa nishakichoka. Nakiona kidogo nahitaji something big. Kwasasa niko nafanya lobbying na connections ili nipate post kubwaa ofisi nyengine huko.
Pia tokea April nisha aply sanaa UN, AU, SADC na kwengine huko (Inter. Org) ili nikafanye Kazi, naiona ofisi yangu ndogo sanaa kwangu. Ila Hawa inter. Org hawajawahi kuniita hata interview jamani😭😭
Sasa nawaza, ""Kwasasa akili yangu iko race na finding green pasture, huyo mke akija sasa asipo kuwa sambasamba na ndoto zangu itakuaje?""
3. INVESTMENTS
Nina uwekezaji naufanya wa project za kilimo. Nimepanda maembe, Parachichi na miti ya mbao. Na lengo langu ni kuwa na Eka 1000 za uwekezaji. Uwekezaji wangu bado ni mdogo kiumri ila ni wa eka nyingi, haujaanza kutoa return, hapa sasa ndio tatizo linaanza.
Kwakuwa mashamba yangu yotee bado yanahitaji huduma, then asilimia kubwa ya mshahara wangu unaenda Shambani. Naweza kupeleka hela yotee shambani mi nikabaki na mpaka na 50,000/= ndio inilee mwezi. Na hii ndio sababu imenifanya nipotezee marafiki, maana hawanioni Tena bar Wala starehe yoyote. Yaani nimekua bahili hasaaa, nimepiga chini pombe, kuchoma nyama na vituu vingii vya kuwa pamoja na marafiki.
Mimi ni kazini >>> nyumbani >>> shambani.
Sasa najiuliza ""Mimi na mashamba yangu mshahara haututoshi, huyu mke atalelewa na pesa gani?"" Vile anasema "baby nataka hela ya kusuka" huku kibarua nae shambani "bosi nataka hela Kazi" Hapa nani atapewa na nani atanyimwa?
4. MTOTO
Nina mtoto ila mimi na mama ake hatukufanikiwa kufika mbali, baada ya kudumu miaka mi3. Nilikuja kumfumania akigongana na mchungaji wa Kanisa langu KKKT baada ya Mimi kurudi kutoka safari ghafla. Aisee niliumia balaa yaani kitandani kwangu na mchungaji wangu. Niliwaambia tu ""mkimaliza muondoke""
Nilirudi nje nikasepa, nilivyorudi sikuwakuta, ilikuwa 2018. Yule mwanamke aliomba msamaha sanaaa, nikamwambia "ili nikusamehe katoe USHUHUDA kanisani juu ya mchungaji" alishindwa ndio ikawa mwisho wetu.
Na yule mchungaji alihamaga usharika wa huku. Tena Kuna siku niliiona post FB ana hubiri kuhusu vijana tuoe, nilimshangaa yule mbwaaa. Nikionaga vile watu Wana comment video zake za mahubiri wakimtukuzaa dah huwa nachoka sanaa na hawa wachungaji.
Then mtoto nipo nae sanaa, mama ake yupo DSM anapambana na maisha, mwaka jana nilitumiwa sms na mdogo ake "shemeji" kuwa mama mtoto/dada ake kaamua kubadili dini na kuolewa na shekhe.
Nilimwambie tu amwambie ""maisha mema"" Hii ndio ikiwa chatting ya mwisho na ukoo wa mama wa mwanangu. Sina mawasiliano nao yoyotee tokea 2018. Nampenda sanaa mwanangu. Sasa nawaza ""Mwanamke gani atakuja kwangu tuishi na yeye ampende mtoto asiye wake?""
5. MIFANO
i. Nina watu wengi wa karibu, yale waliyopanga hayakufanikiwa baada ya kuoa.
ii. Nina rafiki zangu tuliajiriwa wote tukapanga kurudi Shule, ila tokea waoe MIPANGO IMEKUFA. Nilirudi Shule pekee yangu wao hawakurudi.
Yaani marafiki zangu wengi sanaa wameacha mipango yao mingi kuitekeleza baada ya kuoa. Kipindi kile kabla hawajaoa nikiwa nao bar, dah walikuwa na plan nyingi ila walivyooa tu SIONI UTEKELEZAJI.
Hili LINANIOGOPESHA.
iii. Watu wengii wanaonizunguka naona tu wanalalamika na ndoa zao tuu.
iv. Wake za watu kazini na nilivyokuwa chuo niliona wanagongwa sanaa.
Yaani kifupi, wanawake wengi ninao wajua na niliowahi kuwa nao karibu ambao wanaishi mbali na waume zao kwasababu yoyote wanagongana na vijana wasio na ndoa na wenye ndoa wenzao.
Sasa nyie mlioa, MLIWEZAJE KUJITOSA KWENYE NDOA NA MIPANGO YENU IKADUMU. VIJANA TUENDELEE KUZALISHA SECONDARY SOURCES OF INCOME.
Mbinu za UTAJIRI ni UBAHILI.
#YNWA
1. Kulelewa bila wazazi haimaniishi hujalelewa maisha ya ndoa.Unaweza kuwa una tatizo la kisaikolojia kutokana na childhood maana kila mtu ana tatizo lake. Kwako wewe familia na malezi uliyopitia yanakupa Gamophobia (fear of marriage).
Kwa kuwa hukukua kwenye familia ya wazazi basi una priority ya pesa kuliko kitu kingine. Yawezekana utotoni ulikuwa unaamini furaha yako utaitafuta mwenyewe pale utakapokuwa na pesa. Na huwezi tosheka hela sasa. Nami naongeza juhudi, OA!
Braza ngoja nitafute helaa...Liverpool VPN mkuu naona sasa taratibu unaelekea kuoa. Nyuzi zako zamani ulikuwa unatukana waliooa ila tune sasa inabadilika unahoji. Mwendo huu ukiwa hivi naomba kukakiribishwa kwenye harusi, maybe within 2 years kutoka sasa.
Hata mimi mengi ya uliyoongea huwa najiuliza hivo hivo na huwa sina amani nayo.
Unahitaji mwanamke ambae mnaendana kifikra, kimawazo, kimtazamo na most of all, you share your dreams together, mbali na hapo itakua ni ngumu kutimiza ndoto zakoWanajamvi salama?
SAMAHANI KWA HILI ANDIKO REFU KIDOGO.
Naomba mliooa mnipe darasa kidogo. Nina Miaka 31 na nyumbani kelele nyingii ni utaoa lini? Mimi ni yatima na nimelelewa na ndugu@extended family. Tatizo lilianza pale ndugu wa kiume niliokuwa nao wotee wameoa. Na rafiki zangu wotee (wale close friends) wameoa.
Sasa bana ndugu zangu wotee kwasasa ni "NA WEWE UTAOA LINI?" Yaani ni kama movement wameianzisha kunishinikiza nioe. Sababu zinazonifanya nisite kuoa. Kwanza kabisa Mimi ni mwajiriwa wa Serikali.
1. ELIMU
Nilipanga kuoa nikimaliza bachelor (nilianza Kazi nikiwa na diploma) nilivyomaliza bachelor, nikapata fursa kusoma Masters nayo nikamaliza. Sasa hivi naona Masters haitoshi Nahitaji PhD.
Huwa nawaza vile naoa halafu namwacha mke wangu TZ mi napanda ndege kwenda kusoma PhD, sasa naoa ili niache mke alone?
2. KAZI
Niliajiriwa nikiwa very low level civil servant. Nilikua na mshahara hata Mimi haunibariki, nikawaza ""Kama huu mshahara Mimi tu haunitoshi je huyo mke atalishwa na nini, na je akileta mtoto duniani atalelewa na mshahara gani?""
Nilivyomaliza tu masters nikakaimishwa idara (kaimu mkuu wa idara).
Nilihoji utumishi Dodoma kuwa mkuu wa Idara kamili. Nilijibiwa Mimi bado mdogo kazini (period of work vs Cheo), nivumilie soon nitakua senior, hivyo nivumilie muda ukifika nitakua mkuu wa Idara kamili.
Kazini nao kila siku "We boss oa bana" Ila wasichokijua Nina mawazo tofauti, hii ofisi/Cheo nilikipata April/2020 ila kwasasa nishakichoka. Nakiona kidogo nahitaji something big. Kwasasa niko nafanya lobbying na connections ili nipate post kubwaa ofisi nyengine huko.
Pia tokea April nisha aply sanaa UN, AU, SADC na kwengine huko (Inter. Org) ili nikafanye Kazi, naiona ofisi yangu ndogo sanaa kwangu. Ila Hawa inter. Org hawajawahi kuniita hata interview jamani😭😭
Sasa nawaza, ""Kwasasa akili yangu iko race na finding green pasture, huyo mke akija sasa asipo kuwa sambasamba na ndoto zangu itakuaje?""
3. INVESTMENTS
Nina uwekezaji naufanya wa project za kilimo. Nimepanda maembe, Parachichi na miti ya mbao. Na lengo langu ni kuwa na Eka 1000 za uwekezaji. Uwekezaji wangu bado ni mdogo kiumri ila ni wa eka nyingi, haujaanza kutoa return, hapa sasa ndio tatizo linaanza.
Kwakuwa mashamba yangu yotee bado yanahitaji huduma, then asilimia kubwa ya mshahara wangu unaenda Shambani. Naweza kupeleka hela yotee shambani mi nikabaki na mpaka na 50,000/= ndio inilee mwezi. Na hii ndio sababu imenifanya nipotezee marafiki, maana hawanioni Tena bar Wala starehe yoyote. Yaani nimekua bahili hasaaa, nimepiga chini pombe, kuchoma nyama na vituu vingii vya kuwa pamoja na marafiki.
Mimi ni kazini >>> nyumbani >>> shambani.
Sasa najiuliza ""Mimi na mashamba yangu mshahara haututoshi, huyu mke atalelewa na pesa gani?"" Vile anasema "baby nataka hela ya kusuka" huku kibarua nae shambani "bosi nataka hela Kazi" Hapa nani atapewa na nani atanyimwa?
4. MTOTO
Nina mtoto ila mimi na mama ake hatukufanikiwa kufika mbali, baada ya kudumu miaka mi3. Nilikuja kumfumania akigongana na mchungaji wa Kanisa langu KKKT baada ya Mimi kurudi kutoka safari ghafla. Aisee niliumia balaa yaani kitandani kwangu na mchungaji wangu. Niliwaambia tu ""mkimaliza muondoke""
Nilirudi nje nikasepa, nilivyorudi sikuwakuta, ilikuwa 2018. Yule mwanamke aliomba msamaha sanaaa, nikamwambia "ili nikusamehe katoe USHUHUDA kanisani juu ya mchungaji" alishindwa ndio ikawa mwisho wetu.
Na yule mchungaji alihamaga usharika wa huku. Tena Kuna siku niliiona post FB ana hubiri kuhusu vijana tuoe, nilimshangaa yule mbwaaa. Nikionaga vile watu Wana comment video zake za mahubiri wakimtukuzaa dah huwa nachoka sanaa na hawa wachungaji.
Then mtoto nipo nae sanaa, mama ake yupo DSM anapambana na maisha, mwaka jana nilitumiwa sms na mdogo ake "shemeji" kuwa mama mtoto/dada ake kaamua kubadili dini na kuolewa na shekhe.
Nilimwambie tu amwambie ""maisha mema"" Hii ndio ikiwa chatting ya mwisho na ukoo wa mama wa mwanangu. Sina mawasiliano nao yoyotee tokea 2018. Nampenda sanaa mwanangu. Sasa nawaza ""Mwanamke gani atakuja kwangu tuishi na yeye ampende mtoto asiye wake?""
5. MIFANO
i. Nina watu wengi wa karibu, yale waliyopanga hayakufanikiwa baada ya kuoa.
ii. Nina rafiki zangu tuliajiriwa wote tukapanga kurudi Shule, ila tokea waoe MIPANGO IMEKUFA. Nilirudi Shule pekee yangu wao hawakurudi.
Yaani marafiki zangu wengi sanaa wameacha mipango yao mingi kuitekeleza baada ya kuoa. Kipindi kile kabla hawajaoa nikiwa nao bar, dah walikuwa na plan nyingi ila walivyooa tu SIONI UTEKELEZAJI.
Hili LINANIOGOPESHA.
iii. Watu wengii wanaonizunguka naona tu wanalalamika na ndoa zao tuu.
iv. Wake za watu kazini na nilivyokuwa chuo niliona wanagongwa sanaa.
Yaani kifupi, wanawake wengi ninao wajua na niliowahi kuwa nao karibu ambao wanaishi mbali na waume zao kwasababu yoyote wanagongana na vijana wasio na ndoa na wenye ndoa wenzao.
Sasa nyie mlioa, MLIWEZAJE KUJITOSA KWENYE NDOA NA MIPANGO YENU IKADUMU. VIJANA TUENDELEE KUZALISHA SECONDARY SOURCES OF INCOME.
Mbinu za UTAJIRI ni UBAHILI.
#YNWA
Nakubali mkuu kwa asilimia nyingi sana ... very very trueLive the life you love, Love the life you live.
Ndugu yangu kaa ukijua kwamba "Marriage is a female institution, Man draws absolutely nothing from marriage, man have to sacrifice his ambitions, properties,Time,Plans etc"
na ndo mana unaona hata wenzako walipooa tu na mipango ya kurudi chuo ikafa. It means walisacrifice plans zao kwa sababu ya ndoa.
Wanawake wanafaidi sana ndoani kuliko wanaume ndo mana wanawake hua wanalilia sana ndoa.
Mtu kama Diamond Platnumz akipata mwanamke anaefanana nae tabia. Itakuaje hapo? Baba ana watoto 4 kwa mama tofauti, Mama nae ana watoto 4 kwa baba tofauti. Baba leo ana scandle ya kutoka na fulani, Mama nae kesho anajibu mapigo kama Palestina na Israel. Noma na nusu.Unahitaji mwanamke ambae mnaendana kifikra, kimawazo, kimtazamo na most of all, you share your dreams together, mbali na hapo itakua ni ngumu kutimiza ndoto zako
Usiogope kupa, Mwombe Mungu akupatie mwanamke wa kufanana na wewe.