Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
- #61
Ni mawazo yako na ni haki yako kuyaamini.jamaa kaongea tambo kibao uzi unaonekana wa tambo zaidi na tumjue sio wa point halisi aliyesema
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mawazo yako na ni haki yako kuyaamini.jamaa kaongea tambo kibao uzi unaonekana wa tambo zaidi na tumjue sio wa point halisi aliyesema
""wabongo bana""jamaa kaongea tambo kibao uzi unaonekana wa tambo zaidi na tumjue sio wa point halisi aliyesema
Hili wazo nilishawahi kuwa nalo...Oa mwanamke aliyekuzidi elimu na kipato ulelewe.
Na wewe unamke mmoja wenzio saba vipiUsipooa utaolewa, mwanaume unaogopa kuoa huna tofauti na pisi kali.
Simaanishi hivyo, ww bado mvulana! Kuwa mwanaume ni mchakato dogo! Mvulana hana mbunye dogo, ila dish bado halisomi majukumu ya kiuanaume🤔! Ukiingia kwenye ndoa kivulana hivi utatusumbua na malalamiko yasiyoisha na uwezekano mkubwa ni kuvunjika kwa ndoa yenu!Kwahiyo kwasababu sijaoa basi sio mwanaume...
Unataka kuniambia wale wanaoana na kuachana ni kwamba wanaingia uanaume na kurudi uvulana?
Ngoja nikimbilie choo kujikagua labda nimeota mbunye ujue. Ndio maana sio mwanaume.
#YNWA
Nimemuhubiria sana humu mkuu lakini anaelekea kuelewa plus maneno yako atanyookaSimaanishi hivyo, ww bado mvulana! Kuwa mwanaume ni mchakato dogo! Mvulana hana mbunye dogo, ila dish bado halisomi majukumu ya kiuanaume🤔! Ukiingia kwenye ndoa kivulana hivi utatusumbua na malalamiko yasiyoisha na uwezekano mkubwa ni kuvunjika kwa ndoa yenu!
Sijakuelewa mkuuNa wewe unamke mmoja wenzio saba vipi
🤣🤣🤣🤣🤣Kuoa ni kama kufa, muda ukifika ukampata ulieandikiwa hata hayo ma-falsafa, ma- uchambuzi ma-principle na ma kuwekeza wekeza hutajua yametorokea wapi
Nakwambiaje mke mmoja siyo mchongo ongeza wengineSijakuelewa mkuu
Allah akinijaalia naongeza mkuuNakwambiaje mke mmoja siyo mchongo ongeza wengine
Kimsingi bado hujafikia uanaume maliza kwanza uvulana utakapoufikia uanaume hutahitaji mtu wala jf ikushauri, utaingia mwenyewe[emoji848]!
Wanaovunja ndoa wotee ni wavulana?Simaanishi hivyo, ww bado mvulana! Kuwa mwanaume ni mchakato dogo! Mvulana hana mbunye dogo, ila dish bado halisomi majukumu ya kiuanaume🤔! Ukiingia kwenye ndoa kivulana hivi utatusumbua na malalamiko yasiyoisha na uwezekano mkubwa ni kuvunjika kwa ndoa yenu!
Basi uzae kidigitali kama inawezekana🤔! Uanaume ni uwezo wa kuhimili majukumu, hasa kummudu mwanamke! Mengine yote ni mbwembwe tu maana kama urais hata Samia anaumudu lakini siyo uanaume😜! Usiwe limbukeni wa mtandao/digital 😠!Uanume katika ulimwengu wa kidijitali haupimiwi kwa kuoa, Hicho kilikuwa kipimo enzi za ujima
Sielewi ni kipimo gani hicho ulichotumia hata kuanza kunitusi kienyeji hivyo!? Aliyekuambia mimi nina mke mmoja ni nani? Na aliyekuambia kuwa na mke mmoja ni ubwege ni nani!? Kuvunjika kwa ndoa kuna sababu nyingi, na sio lazima uwe mvulana ili ndoa ivunjike...mke anaweza uvumilia uvulana wako akailea ndoa! Pia Mwanaume anaweza akawa kwenye ndoa na msichana(badala ya mwananke) asiyeweza mudu prukshani za ndoa na hatimaye kuvunjika! Sababu zinazopelekea ndoa ivunjike ndio zinaweza toa dira ya kama uvulana ulihusika au usichana au vyote! Ndoa ya mwanaume na mwanamke haiwezi vunjika kirahisi dogo😜!Wanaovunja ndoa wotee ni wavulana?
Na wale wenye wake wanne (zaidi ya mmoja) Wana akili nyingi...
Wenzio Wana wake wengi na wewe ni mke mmoja tu, HUJIONI BWEGE?
#YNWA
Kwahiyo wanauvunja ndoa wakina Dangote na Bill gate ni wavulana Sana?Sielewi ni kipimo gani hicho ulichotumia hata kuanza kunitusi kienyeji hivyo!? Aliyekuambia mimi nina mke mmoja ni nani? Na aliyekuambia kuwa na mke mmoja ni ubwege ni nani!? Kuvunjika kwa ndoa kuna sababu nyingi, na sio lazima uwe mvulana ili ndoa ivunjike...mke anaweza uvumilia uvulana wako akailea ndoa! Pia Mwanaume anaweza akawa kwenye ndoa na msichana(badala ya mwananke) asiyeweza mudu prukshani za ndoa na hatimaye kuvunjika! Sababu zinazopelekea ndoa ivunjike ndio zinaweza toa dira ya kama uvulana ulihusika au usichana au vyote! Ndoa ya mwanaume na mwanamke haiwezi vunjika kirahisi dogo😜!
Ukipevuke kuwa mwanaume utakuja elewa kwa sasa tunachoshana tu🤔! Naposema ukikua simaanishi umri bali mabadiriko ya fikra na mtazamo...hii inaweza chukua muda mfupi au mrefu na inawezekana pia kubakia mvulana mpaka uzeeni😜!