Mkuu, kiuhalisia umeelezea mambo mengi na kwa kupitia uzi wako inaonyesha ni jinsi gani bado uwezo wako wa kupambanua mambo ulivyo.
Napata tabu kufahamu hata hizo investment ulianzaje maana hakuna investment isiyo na hasara, the risk is always there"
Na kuna watu naamini kabla ya kuanza hizo investment uliwafuata au kuwatazama kama ma role model na kati ya hao kuna ambao walifeli katika investment zao lakini bado ukaingia na ukaamini kutoboa kupitia huko.
Natamani kusema mengi lakini naona akili yako haipo katika kuangalia positivity na bado uchanganuzi wako ni wa kitoto.
"Age does not make you mature"
Cha kujifunza hapo ni:
1: usifanye maamuzi kupitia maneno ya watu.
2: surround only with quality people( tathmini marafiki zako)
3: Sali na omba sana kwa Mungu.
Be blessed.......