Simon Adebisi
JF-Expert Member
- Aug 7, 2018
- 1,224
- 2,337
Spanish guitar_ huu wimbo wa TON BRAXTON
TUNAILA NYAMA YA BATA CHRISTMAS MOJA IN EARY 90'S
ROCK CITY MWANZA.
Lemi ongara."Wema kumanyoko"
Ya mzee ngurumo yule kama sikosei
Mkuu ntakua nimechanganya Kati ya Toni Braxton na Whitney Houston song
Namwona ferooz na daz baba, ujue daz alijiharibiaga mambo ya madawa ya kulevya.
Kitambo aisee...Umenikumbusha pia MAD ICE..BABY GIRL.Kuna Tamala ya Hardmad. Hiyo ngoma uwa inanidrag mbali sana.
Namwona ferooz na daz baba, ujue daz alijiharibiaga mambo ya madawa ya kulevya.
Kaka inaonekana marika😂Mkuu ntakua nimechanganya Kati ya Toni Braxton na Whitney Houston song
Asante kwa wimbo,
Ule wimbo ulikua unaimbaa...THAT NIGHT WE MEET.........
Iyo kipindi Cha early 90'sKaka inaonekana marika😂
Mkuu ntakua nimechanganya Kati ya Toni Braxton na Whitney Houston song
Asante kwa wimbo,
Ule wimbo ulikua unaimbaa...THAT NIGHT WE MEET.........