Nyimbo gani umekua nazo na ukizisikia zinakukumbusha utoto au ujana wako?

Mh! sidhani mi zamani nilikuwa sipendi R&B sasahivi sasa ndo zinanipa usingizi!
 
Nyimbo nzuri na kumbukumbu nzuri ya mama, May her soul rest in peace 🙏🏽
 
Linapokuja swala la muziki nafikiri napenda aina nyingi ya muziki ila zaidi napenda muziki mzuri uliopikwa ukapikika!, na pia muziki unaweza kueleza uwezo wa ufahamu wa mtu! namaanisha music is intelligent!.

Sipendi singeli ule sio muziki ni kelele zile!, muziki huwa unapangwa vizuri ki ustadi na kimaridadi!.

Your browser is not able to play this audio.

Your browser is not able to play this audio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…