Nyimbo gani umeshawahi kuzisikiliza 'non-stop' zaidi ya siku mbili?


Najaribu kuzitafuta hapa,nitaziadd kwenye play list zikinivutia
 
Hiyo nyimbo ya Walter Chilambo ina vibe fulani hivi la kufanya moyo upoe/usamehe...mwanzo nilikuwa nasikiliza sana ile ya Gozbert-Nimesamehe lakini siku hizi nimeichoka
duuuuh kumbe ni dini
 
Travis Scott - Yosemite
Travis Scott - Highest in the room
Dj Khaled - you stay
Dj Khaled - the storm
Lady Gaga - always remember this way
Alan Walker - on my way
Ed Sheeran - perfect
Sasa hv ni Justin Bieber ft Quavo - intentions nasikili muda mwingi sana.
 
yeah intention tamu
 
Hyo Perfect used to be my fav enz hzo,ntaitafta niirudishe tena kundini nzuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwene r&b hiyo namba 3 kwene list yako iyo ngoma tamu Sana
 

Hii Ultimatum naisikiliza sasa hivi hapa,haijawahi kuchuja 😁
 
Hosanna ndiwe Mungu
Wanakwenda wanarudi - RC
Lily Wayne - kush
Niki Minaj ft Bennie man - Gunshot
Niki Minaj - Romans Revenge
Abiud Misholi - wanikingia msiba
Kapotive singer's
Enigma - till am dying
.
.
.
.
.
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah,ni ya dini
Kama ni mkristo utaipenda
Mi ni mpagani mwema but ntajifunza kuipenda coz ov u

ngoja nikuongezee list nyimbo zingine tamu tamu
Better by Khalid
Good things by zedd kehlan
Faded by Allan walker
I hate you I love you by Gnash
Good life by kehlan

Jaribu hizo tamu haswaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…