Nyimbo gani ya zamani ujumbe wake inabidi uwafikie vijana wa sasa?

Nyimbo gani ya zamani ujumbe wake inabidi uwafikie vijana wa sasa?

Azalaki Awa - Gatho Beevans
Miss Cavacha - Manu Dibango
Balembi Yeye - Orchestre Cavacha

Mpaka sasa Baadhi ya Santuri (maintained) zipo store za Mzee, nafanya mpago wa Vinyl player tu.
 
Ok.....

Barua yako by Les wanyika

Stella by Freshly mwambuli

Nawashukuru wazazi wangu by DDC Mlimani Park

Nakei Nairobi by Mb'ilia Bel

Dezodezo by Tshala muana

By the way nami ni kijana wa sasa 😂

Mwachiluwi
secretarybird
bonjov
Kabisa mkuu, mimi naikubali kaza moyo ya msondo ngoma, nawashukuru wazazi wangu ya DDC Mkimani park, mali ya urithi ya Ottu Jazz, Lau nafasi ya kilwa Jazz, amigona kasuku ya Les wanyika, dunia tunapita, marina by Samba mapangala, Msichana ya panda bongoman.

Oya mfuaji u wapi?
 
Najituliza kwake kasuku,, ooh

Najituliza kwake kasuku ooh,

Hataki maneno hataki maneno

Anachopata kinamtosha,

Hataki matata, hataki matata

Kasuku eeh
 
Back
Top Bottom