Nyimbo gani ya zamani ujumbe wake inabidi uwafikie vijana wa sasa?

Mambo ya vigogo hayo.
 
so alichapika mpk barabara hii hapo kariakoo kuja kama ukutane na kilwa road inaitwa KAMATA ROAD, mpka kituo Cha mwendokasi kinaitwa KAMATA bus stop, eeh hata treni zikiwa zinatoka pale gerezani kariakoo sio gerezani ni kituo Cha KAMATA πŸ˜‚
Ayayaya!πŸ₯±
 
Marijani..Hawa waimbaji walikuwa na kipawa cha aina yake kabisa.Hatutakuja tena kuwapata milele zote.Tubaki na wakina zuchu na marioo tu
Kuna ile Gezaulole ni kali

Baba na Mama
Shangazi na Mjomba
Mjini hakutafai, biashara ya kahawa na maji ya barafu haitufai
Twendeni Gezaulole 🎢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…