Nyimbo gani ya zamani ujumbe wake inabidi uwafikie vijana wa sasa?

Kuna wimbo..

Unaimbwa iviii...

Tusaidiane wadau..

USIPATE TABU NEEMA.... IKIWA NI MAPENZI WAPO WALIO PENDANA KAMA WATOTO MAPACHAAA

KAMA NI MAPENZI WAPO WALIO PENDANA KAMA KUMBI KUMBI..

Umeimbwa na nani huu wimbo?
 
Naaam....... siku hz jiji limepoa machawa wengi, mitandao imeanika kila kitu basi tafrani tupu
Na ndiyo maana tunayakumbuka mambo ya zamami kama nyimbo na kadhalika kwa maana mambo ya sasa hayaturidhishi ki vile...
 
Vijana wa sasa wanapenda ganda la ndizi, wasikilize ile ngoma ya

Prince Dully sykes - Asha Mapromisi

Waone kilichomkuta mwenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…