Nyimbo za kupinga kuuzwa bandari katika mabasi

Nyimbo za kupinga kuuzwa bandari katika mabasi

View attachment 2689204

Mwana JF hapo ulipo na familia yako mnaweza kuitikia huo wimbo. Hata kama ni bar mnakula bata ambia DJ apige song
Ngoma mneso, safari na mwendo.

Lele ndiyo hiyo imeshaanza ikiashiria mwanzo wa ngoma.

Kolikoli nao, tutawapeleka mpaka enzi za samba na msele style kinye kisonzo. Nchi itaitika tu.
 
View attachment 2689204

Mwana JF hapo ulipo na familia yako mnaweza kuitikia huo wimbo. Hata kama ni bar mnakula bata ambia DJ apige song
IMG-20230715-WA0099.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasahihishe maudhui siyo kuuzwa bali zimegawiwa bure, kuuza kitu utapata fedha, Serikali haijapata fedha yoyote hivyo Bandari imegawiwa kwa waarabu bure, kuna uzi uliwekwa hapa hata fedha za kuiendesha na kuikarabati Bandari ni za kwetu tumekopa WorldBank hivyo atakayelipa deni na riba juu ni sisi na siyo Mwarabu hivyo hatujauza Bandari bali tumezigawa na bado tumemlipa tuliyemgawia …
 
Wasahihishe maudhui siyo kuuzwa bali zimegawiwa bure, kuuza kitu ubapata fedha, Serikali haijapata fedha yoyote hivyo Bandari imegawiwa kwa waarabu bure …
kwa hiyo hata mwimbo umekosewa kutungwa?[emoji1787]
hiyo ndio tabu ya kuzusha mambo.

mzee wasira anasema; Bandari imeuzwa shilingi ngapi?
 
Back
Top Bottom