Nyimbo za kupinga kuuzwa bandari katika mabasi

Nyimbo za kupinga kuuzwa bandari katika mabasi

Wewe ndo huna akili,unakubali kuwa brainwashed na wanasiasa,wasiolitakia mema taifa hili,,sijui mtaficha wapi nyuso zenu pale bandari itakapoanza kufanya kazi Kwa ufanisi na watu kuona hayo mafanikio,,,😂,maana huo mkataba hautasinamishwa kwa Maneno ya mitandaoni Bali labda washindwe kuelewana kwenye mkataba unaofuata
Wewe ni jinga sana. Leta mrejesho wa Gesi ya Mtwara. Huwenda ukawa Wakala wa shetani dada yake Ibilisi
 
Kwahiyo mmewapa bure? Jibu hapo kwanza
kasome mkataba/makubaliano kati ya Serikali yetu na Dubai, mbona mkataba upo wazi sana na umeenea kila kona.

wewe unaye dai kuwa Bandari imeuzwa ndiye unatakiwa utuambie imeuzwa shilingi ngapi? kuanzia hapo nitakujibu.
 
Mmewapa bure??
 
Hilo bus lililobeba hawa watu si ajabu litaitwa polisi kuhojiwa kwanini linabeba watu wanaimba wimbo kuikosoa serikali!!
 
Back
Top Bottom