Ufaidi Muungano mkuu, sahau hayo ya kujisemesha hapa kuhusu "uvamizi", kumbe huna habari kabisa na kujiondoa kwenye uvamizi.Anza wewe kuokota kazi ya kumlinda Lema kiongozi wako Kama rahisi
Maadam nimekwishajua unaposimamia, sina tena sababu ya kuendelea kujibishana nawe hapa kuhusu hizi takataka nyingine unazoleta hapa.