Nyimbo za kupinga kuuzwa bandari katika mabasi

Nyimbo za kupinga kuuzwa bandari katika mabasi

Wasahihishe maudhui siyo kuuzwa bali zimegawiwa bure, kuuza kitu utapata fedha, Serikali haijapata fedha yoyote hivyo Bandari imegawiwa kwa waarabu bure, kuna uzi uliwekwa hapa hata fedha za kuiendesha na kuikarabati Bandari ni za kwetu tumekopa WorldBank hivyo atakayelipa deni na riba juu ni sisi na siyo Mwarabu hivyo hatujauza Bandari bali tumezigawa na bado tumemlipa tuliyemgawia bado …
Uzushi huu ni kwa faida gani hasa!
Na je kwa kuendelea na uzushi wenu mnadhani ndo itasaidia kuifanya serikali iachane na mpango wake?
 
View attachment 2689204

Mwana JF hapo ulipo na familia yako mnaweza kuitikia huo wimbo. Hata kama ni bar mnakula bata ambia DJ apige song

HUU ni wakati wa kugawana mbao.

Tuwe kama Malaysia na Singapore

Au Vape Verde na Guinea Bissau

Muungano huu ni mateso na kuuwana tu na kuzidisha wezi na umasikini , hauna faida yoyote zaidi ya kujengaKundi la Umafia tu la CCM

wakati ndio huu kila mtu achukuwe chake , Tuwe na ujirani mwema kama kabla ya uvamizi wa 1964
 
EeeenHeeeee!

Bado unalalamika tu na "uvamizi"?
Samia si huyo hapo, nenda kamlilie.
 
Wasahihishe maudhui siyo kuuzwa bali zimegawiwa bure, kuuza kitu utapata fedha, Serikali haijapata fedha yoyote hivyo Bandari imegawiwa kwa waarabu bure, kuna uzi uliwekwa hapa hata fedha za kuiendesha na kuikarabati Bandari ni za kwetu tumekopa WorldBank hivyo atakayelipa deni na riba juu ni sisi na siyo Mwarabu hivyo hatujauza Bandari bali tumezigawa na bado tumemlipa tuliyemgawia bado …
Chai
 
Ukiona hivyo, ujue hili lina 'uhitaji" mkubwa zaidi.

Usibeze uwezo wa akili za watu.
You can’t run the country like that

Tuna serious issues kwenye food security, workforce consumption (bomu kubwa zaidi), productivity due to poor strategy, good governance etc.

Anyways…. Kuna mwaka agenda ilikua ufisadi tu, baadaye wakawasafisha hadharani na kuwatandikia khanga barabarani

We have to be better than that
 
nyimbo za ukombozi
Eeh hata Nyerere alipotaka kuikomboa Tanganyika na nchi zingine kusini mwa bara la Africa hakukimbia mji Wala kumwaga damu,alifanya mazungumzo🙏nchi za sadc ni hizi Tanganyika, Zimbabwe, Zambia, South Africa, Mozambique, Congolese,botwana enzi hizo wanaita waswanaland,Zimbabwe na Zambia zilikuwa Rhodesia ya kaskazin na kusini 🤣wakenya ,warundi,waganda,wanyarwanda sie Tanganyika tunawabeba kwenye diplomasia🙏
 
You can’t run the country like that

Tuna serious issues kwenye food security, workforce consumption (bomu kubwa zaidi), productivity due to poor strategy, good governance etc.

Anyways…. Kuna mwaka agenda ilikua ufisadi tu, baadaye wakawasafisha hadharani na kuwatandikia khanga barabarani

We have to be better than that
We unaleta politics kwenye ajenda ya muhimu mezani🙏hata mrema aliwahi tandikiwa khanga barabaran apite,na mzee mchonga babu yangu alikuwepo🙏
 
You can’t run the country like that

Tuna serious issues kwenye food security, workforce consumption (bomu kubwa zaidi), productivity due to poor strategy, good governance etc.

Anyways…. Kuna mwaka agenda ilikua ufisadi tu, baadaye wakawasafisha hadharani na kuwatandikia khanga barabarani

We have to be better than that
Una ujuaji wa kijinga sana, suala la kukomboa rasilimali za taifa ni zaidi ya siasa hata kama aliyeharibu ni mwanasiasa, ndio maana unaongoza viongozi wa dini, wanaharakati, wanasheria na wengine wote kwa pamoja wakipiga kelele kulaani..

Hizo issue za food security unazoziita serious issues unaweza kutumabia ulienda soko gani kutafuta mahitaji yako ukiwa na pesa mfukoni ukayakosa?

Ukosefu wa ajira sawa ni tatizo, lakini huwezi kuacha kumkabili adui mpya aliyekuja, mbaya zaidi anayeruhusu wageni waje kujitawala ndani ya mipaka yetu, kisha uendelee kuhangaika na yule wa mwanzo, huo utakuwa ujinga mkubwa..
 
Back
Top Bottom