Nyimbo za kupinga kuuzwa bandari katika mabasi

Nyimbo za kupinga kuuzwa bandari katika mabasi

nisha juwa, wewe ni mnufaika mkubwa sana wa muungano; kama alivyonufaika nao Samia aliyeokota embe dodo chini ya mti wa mchongoma.

Endelea kuufaidi muungano, lakini acha kelele zako za kijinga.
Huyo Samia manufaa gani anayopata kwa huo muungano ?? Matusi na kejeli za Mbowe na Lissu ??
 
Huna akili kabisa
Wewe ndo huna akili,unakubali kuwa brainwashed na wanasiasa,wasiolitakia mema taifa hili,,sijui mtaficha wapi nyuso zenu pale bandari itakapoanza kufanya kazi Kwa ufanisi na watu kuona hayo mafanikio,,,😂,maana huo mkataba hautasinamishwa kwa Maneno ya mitandaoni Bali labda washindwe kuelewana kwenye mkataba unaofuata
 
Hii goma kwa niijuavyo Tanzania laweza trend mbaya kiasi cha kuwaibua Basata.

Shikilia hapo hapo buses zote hadi kwenye midege liwe linawekwa pindi safari ikianza na daladala pia ziwe nao ili tuheshimiane [emoji122][emoji122]
 
Wasahihishe maudhui siyo kuuzwa bali zimegawiwa bure, kuuza kitu utapata fedha, Serikali haijapata fedha yoyote hivyo Bandari imegawiwa kwa waarabu bure, kuna uzi uliwekwa hapa hata fedha za kuiendesha na kuikarabati Bandari ni za kwetu tumekopa WorldBank hivyo atakayelipa deni na riba juu ni sisi na siyo Mwarabu hivyo hatujauza Bandari bali tumezigawa na bado tumemlipa tuliyemgawia …
Aisee Kuna vitu vinatia hasira sn nchi hii[emoji3525]
 
You can’t run the country like that

Tuna serious issues kwenye food security, workforce consumption (bomu kubwa zaidi), productivity due to poor strategy, good governance etc.

Anyways…. Kuna mwaka agenda ilikua ufisadi tu, baadaye wakawasafisha hadharani na kuwatandikia khanga barabarani

We have to be better than that
Duh!
How else can you "run a country if you cannot listen to the people's aspirations"?

I just don't understand how you can ignore the seriousness of this issue and think you have more important matters than this.

Kuonyesha jinsi gani mawazo yako yasivyofanya kazi vizuri ni hilo uliloliweka hapo chini.
Utalinganisha vipi swala unaloliita "agenda" na swala hili la Bandari?
Who is serious here!
 
EeeenHeeee!
Mkuu 'Kunguni',
Haya nayo ni makubwa sasa.

"Kunguni" ni hawa tunaowajadili humu kila siku wanaonyemelea mali za wananchi na siyo hao unaowataja wewe.

Sijapata kukusoma wewe, sijui umeibuka toka wapi? JF ina mambo kwelikweli!
 
Saaaaaaaaaaaaf!!!!!!🙏🙏🙏🙏🙏

lazima Hawa vibaraka wa waarabu kutoka zenji wateme ndoano .
Hata wakipitisha kimabavu lakini ujumbd wameupata kwamba siku hizi watz hawaburuzwi
 
Saaaaaaaaaaaaf!!!!!!🙏🙏🙏🙏🙏

lazima Hawa vibaraka wa waarabu kutoka zenji wateme ndoano .

Kwahiyo ishu iliyopo ya kupinga bandari kisa tu ni waDUBAI na ni WAARABU, na ni WAISLAMU sio? Pole sana kwa maumivu unayopitia.
 
Nilisahau kazi ya bandari na TRA
Ngoja nikukumbushe, kwa vile wewe ni msahaulifu sana.
Tunazungumzia kazi ya Samia aliyoiokota kama embe dodo, pale kwenye mti wa mchongoma.
Sasa mwambie aondoe "uvamizi."
 
Kwahiyo mmegoma kuandamana kabisa??

Mwabukusi SI amesema atawahamasisha muingie barabaran.

Jifunzeni Kwa majiran zenu hapo Kenya,sasa hizo baikoko mnaimba kwenye dala dala zitawasaidia Nini.
 
Ngoja nikukumbushe, kwa vile wewe ni msahaulifu sana.
Tunazungumzia kazi ya Samia aliyoiokota kama embe dodo, pale kwenye mti wa mchongoma.
Sasa mwambie aondoe "uvamizi."

Kama kuikota huko Rahisi basi nenda kaokote nawewe hata ujumbe wa nyumba kumi kumi tuone.
 
Ngoja nikukumbushe, kwa vile wewe ni msahaulifu sana.
Tunazungumzia kazi ya Samia aliyoiokota kama embe dodo, pale kwenye mti wa mchongoma.
Sasa mwambie aondoe "uvamizi."
Anza wewe kuokota kazi ya kumlinda Lema kiongozi wako Kama rahisi
 
Back
Top Bottom