Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui

Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui

Mapera mapera
Mama kapika ubwabwa
Na kifaranga cha kuku
Tia hapa Tia hapa
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Kama hautaki niambie
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Nikae chini nilie
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Iyeee iyebaa


Loading. .......
Ana ana doo aspirin matido khalidoun kajambaaa ushuzi unanukaa tena sanna anatakiwa akatawazee namaji yamotoooooo huyooooo mkimbizeniii


Cc Smart911
 
Kuna nyimbo za kurukia kamba unazikumbuka.
"Halima panda mlima,siwezi kupanda,kwa nini huwezi kupanda,naumwa uchungu,uchungu nani kakupa,kijana hasani ...........siku ya kwanza utamu dash dashi utamu siku ya pili utamu dash dash utamu...
Goma la utete Mwingereza kalitengeza, mwanamke hakutaki ya nini kumbe mbele za. Umempiga kiss na barua kumwandikia, anapita analia, msheli sheli na maua yake, yake msheli na maua yake msheli sheli
 
Nilikuwa na mwenzanguu, nalimpenda moyoni
tarumbeta ikalia, tukaenda wote pia rafiki na mimiiii raafiki na mimi,
mwendo wetu wote sawa, tulikuwenda vitani, na rafiki karibu karibu yangu, tukaenda wote pia, pamoja na mimi pamoja na mimi.
na risasi ikampata akatoka moyo we, siku wahi kuagana kwa sababu kupiganaa, rafiki kwaheri, raaafiki kwaheri.

Tulifundishwa na mtu aliyepigana vita ya pili ya dunia that was in sixties tukiwa la kwanza. Alipigana Burma.
Shikamoo bi mkubwa
 
Goma la utete Mwingereza kalitengeza, mwanamke hakutaki ya nini kumbe mbele za. Umempiga kiss na barua kumwandikia, anapita analia, msheli sheli na maua yake, yake msheli na maua yake msheli sheli
Mmmm haya mama ila kuna dogo anaitwa Young Dee kaiba ka kipisi cha wimbo huu
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] Aiiiiiiii aiiiiiiiiiiii naenda kukusemea kwa mama



Cc Smart911
hiih!!! kaseme,kwani namuogopa mama ako (utoto raha sana)
 
Ushawahi kuimbiwa nini......?

Hahahahaaa hapana aiseeh mwema ukweli mpenz wa Mungu. Kuimbiwa huu wimbo barabarani hata watu wa nyumbani hawakuwahi niimbia japo nilijikojolea sana. Mama akagundua nikienda kulala kwa mjomba au babu au mamkubwa sijikojolei akajua home nafanya makusudi. Nikipoingia darasa la 2 akanipeleka nikakae kwa mjomba angu alikuwa anakaa oysterbay. Nakumbuka nilikaa miezi 6 January hadi June na sikukojoa kitandani hata siku moja likizo nikarudi nyumbani na tangu hapo sikujikojolea tena.
Nilikuwa nikienda kwa watu naona aibu kuamka godoro limelowa hivo nilikuwa sinywi maji kwa wingi. Nashukuru ndo ilikuwa poa yangu.

Ila home kwetu kitaani watoto walikuwa wanafungashiwa magodoro kila leo hasa jumamosi basi unawachungulia getini wanatia huruma. Mkakutane kwenye michezo jioni akileta za kuleta mnaanza hilooo ndo maana kikojozi hilooo. Basi unamuona mtu ana nyweeaaa hadi huruma. Kwakweli hiyo kindumbwendumbwe ilikuwa inafedhehesha sana watoto.

Halafu umenikumbusha huu sio wimbo bali ilikuwa mnapashana mkiwa mmegombana....

Utasikia twende twende twende miguu kama chelewa twende twende macho kama mayai huyooo nywele kama mkutano wa inzi muone kwanza tumbo kama pakacha la embe twende twende mrefu kama ngongoti twende twende masikio kama popo, mashavu kama chura muone mweupee kama karatasi, hilooo mweusi kama mkaaa hahahahaha hapo hadi unaishiwa maneno hehehehehehe eti hapo ndo ulikuwa unatukana looh
 
Makonde kabeba

Mzigo na mwana

Mapera mapera
Mama kapika ubwabwa
Na kifaranga cha kuku
Tia hapa Tia hapa
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Kama hautaki niambie
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Nikae chini nilie
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Iyeee iyebaa


Loading. .......
 
Vipi yange yange walishawahi kukupa kucha nyeupe? Wakipita juu tulikuwa tubaimba
Yange yange nipe kucha nyeupeee....
Cha ajabu kweli kwenye kucha kunatokea vidoa vyeupe!
Hahahaha hiyo tuliimbaa... Sijui huwa kuna muunganiko gani hapoo...afuu hivyo viyange yange sivioni tena!!!
Vipi zile ndege(plane) zilizokuwa zinaachia moshi mweupe angani zikipita unaimba ndege ya urusi hyooooo
 
Yai bovu Yai bove linanuka linanuka linanukajee linanukajee pyiii pyiii kaderaa Nina ndoo yangu eeee yakuchota maji eeee usiku na mchana eeee


Cc Smart911
 
Hao watoto wenu wa ushuani wanaosoma st anne maria sijui mary....huku kwetu uswazi kama kawa, juzi nimewasikia wanaimba ukuti ukuti saa mbili usiku umeme ulikuwa umekatika.....hawakuacha mpaka uliporudi nikasikia HUOOOOOOOOOOOOOOOO!
Nilivyoona hii thread, wimbo wa kwanza kukumbuka ulikuwa Ukuti.
 
Back
Top Bottom