Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui

Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui

Jua hilo literemke mama aiyaiaa iyaaa mama×2 la tano kimbia (kiitikio waaaa kama kazi)

Mimi na rafiki yangu aee aee tulienda mlimani aeee aee tukachuma na matunda aee aee tunda likaniponyoka aee aee likamponda rafiki aee aee rafiki akaanza kulia aee aee tunda tunda tunda katika(hapa sasa snura cha mtoto viuno vinazungushwa sio wasichana wala wavulana kila mtu anapmbana na kuktika kwake)

Ngoro ngoro lia ngoro ngoro lia×2 nimeona mdege wengi mtini wametia fora wanipendeza mlio kama (nimesahau)

Nimeukumbuka huo wimbo wa ngoolooo ngoloolieee ngoolooo ngoloolieee ngoolooo ngoloolieee eeehhh ngoolooo ngoloolieee.
Tanzania tanzania nchi yenye mali nyingi
Watu wengi wengi wa ulaya wana ilikuwa sana
Nimeona ndege wengi chini wametia foraa
Wanapendeza mliiooo kama mtoto wa nyumbaniii

Ngoolooo ngoolooo liiee ngoolooo ngoolooo liieee. ......
Huu tuliuimba shule.
 
Kuna ule wa amina dumpempeeeee amina magerezaaaaaaaaaaaaa amina dish dish nmeimba kama ambavyo nilikuwa naimba huo mwimbo

Aamiinaa amina kadalaa
Snoo weeaaa
Amina dumpeepee dumpeepee
Amina magerezaaaa magerezaaaa
Aamiinaa duuush duuush duuush karanga duush

Kama dada wanipenda kaninunulie zeze
Nikilala kitandani zeze lanibembelezaa

Mengine nimesahau.......

Kuchoma choma vibaya... utamchoma mwenzioo
 
Huo wa baishoo huku kwetu uswazi tulikuwa tunaimba hivi

Bai shoo I love you baby the baby tuthesa thesa tu Ze yona the yona tothem them to the yona
Therewaa tu three fo Kata kona
mkuu asante nimeongeza siku[emoji23] [emoji23]
 
Aamiinaa amina kadalaa
Snoo weeaaa
Amina dumpeepee dumpeepee
Amina magerezaaaa magerezaaaa
Aamiinaa duuush duuush duuush karanga duush

Kama dada wanipenda kaninunulie zeze
Nikilala kitandani zeze lanibembelezaa

Mengine nimesahau.......

Kuchoma choma vibaya... utamchoma mwenzioo
Thanks Kasie ndio huo huo mwimbo at list u reminded me of the best time i had back then.
 
Aamiinaa amina kadalaa
Snoo weeaaa
Amina dumpeepee dumpeepee
Amina magerezaaaa magerezaaaa
Aamiinaa duuush duuush duuush karanga duush

Kama dada wanipenda kaninunulie zeze
Nikilala kitandani zeze lanibembelezaa

Mengine nimesahau.......

Kuchoma choma vibaya... utamchoma mwenzioo
Inaendelea....
Dadaaaa Kasinde kuchomachoma kubaya utamchoma mkweo alikuzalia mumeo ti kamnyanga ti kamnyanga ti stelingi midabwada....
 
Aamiinaa amina kadalaa
Snoo weeaaa
Amina dumpeepee dumpeepee
Amina magerezaaaa magerezaaaa
Aamiinaa duuush duuush duuush karanga duush

Kama dada wanipenda kaninunulie zeze
Nikilala kitandani zeze lanibembelezaa

Mengine nimesahau.......

Kuchoma choma vibaya... utamchoma mwenzioo

Kinyuunyu kinyuunyu
 
Nani kajamba nani kajamba baba J
Kwanini kajamba kwanini kajamba kimemponyoka
Babu yake anauza ugoro Mwaloni
Aliye kula dona na nguru wa kuchoma
Salalee mseleko gruuu
 
Back
Top Bottom