Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui

Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui

Huo wa baishoo huku kwetu uswazi tulikuwa tunaimba hivi

Bai shoo I love you baby the baby tuthesa thesa tu Ze yona the yona tothem them to the yona
Therewaa tu three fo Kata kona
Bai shoo I love you baby
To the baby to the naaa
The na to the yona
To the yona to the miii
The mi to the pushideaaaa
Terewa tu three fo
Terewa
Takata kona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
zipo za kilugha sasa [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Mwanaidi na kikapu cha unga
Na kikapu cha unga X
 
Baba yake Kansa kashona viraka...

Matakoni mwake vinaulizana...

Umekuja lini, nimekuja jana kushinda leo oooh!!

Titiii tiii titiiiiiiiiii iiii....
 
mi ntakuja tu haina shida kama wanaanza wakiwa na miaka 13 ina maana wakifika 20 wanakuwa na ujuzi wa kutosha sana... nielekeze nije ndugu yangu.

Huku hamna mademu ningekuelekeza uje. Watoto wakifikisha miaka 13 hawajazaa wanachekwa. Huku hamna kuolewa ni kugegedwa tu
 
Maua ya bustani yamechanua
akina dada siri zenu tumezijua
boma la mtete msela kalitengeza...
............
 
kioo kiooo alikivunja nani...
simjui simjui wamwisho akamatwe....

bonus track
Kinyuliii nyulika, mwanangu mwana wa jumbe
kavaa nguo mbili ya tatu kajitanda, aliye juu aondoke...

hizo mbili mkuu zinakamilishwa na matukio kadhaa ya vitendo.

ila ukitaka wa kizungu.
by shoo i love you bebiiii, the bebi to the shoooo.... etc
huu sikuunasa vizuri maana mtaani kwetu english tulikuwa hatuijui sio watoto tu bali hadi wazazi,dada na kaka zetu hata waalimu wenyewe walikuwa hawaijui.
Mkuu hata mimi huo wimbo wa kingereza sikuujua na siujui na sitaujui lakn wengine wenye vipaji vyao waliunasa
 
Balabala mselengetii yanitia wasiwasi
Siko moja nilikwenda roho yangu yasemaje. ..

Mshike mshike mtie nanga akileta matata muweke sawa....
Mshike mshike mtie nanga akileta matata muweke sawa.

Nipeleke Nipelekee waapiii kwa baresaaa kwa baresa kuna nini koni kwa mrija
Wanatengenezea nini maji ya mferejini
Kwanini unakula looh yazidi sukari....
 
ikii na hookoo na nche nche nche na ntena ncheeee...
Alieye kula Donaa.. na ....(nimesahau) ya kuchomaaa...

adoo msalale, (nimesahau)... kaondoka tenaa...

hizi lugha na haya maneno ya ujanjaujanja sijui asili yake ni wapi? Du....

Huu wimbo tuliuimba wakati wa kabla kombolela haijaanza. Kwa kupitia wimbo huu anapatikana atakaeanza kuwatafuta wengine(atakae anza kurishi kwa lugha ya mwanza)...

kama huu mlefu, ulikuwepo shortcut

"Funguaaa sodaaaa, Kunywa majiiiii"

Hahahahhaaa sie tulisoma hivii.....
Ikii na okoo na kaa
Aliyekula dona na nguru wa kuchoma
Kasema dooh salalee mpenz kaondoka iiiyaaah.
 
Ka kuku ka mama rhoda kalikuka mpunga wangu nikataka kukafukuza mama rhoda aka akanikataza santuri santuri uhuuuu santuri ya mama rhoda

Moja moja ni mmoja,mbili mbili mbilikimo,tatu tatu ni matuta,nne nne ni unene tano tano mkutano sita sita msikiti saba saba msalaba nane nae tuonane tisa tisa ende karibia na kumi ka mgongo binuka binukaaa

Idi amin akifa,(kiitikio akifaaaa) mimi siwezi kulia(kiitikio kuliaaa)nitamtupa kagera(kiitikio kageraaa)akawe chakula cha mamba(kiitikio)cha mamba
 
Jua hilo literemke mama aiyaiaa iyaaa mama×2 la tano kimbia (kiitikio waaaa kama kazi)

Mimi na rafiki yangu aee aee tulienda mlimani aeee aee tukachuma na matunda aee aee tunda likaniponyoka aee aee likamponda rafiki aee aee rafiki akaanza kulia aee aee tunda tunda tunda katika(hapa sasa snura cha mtoto viuno vinazungushwa sio wasichana wala wavulana kila mtu anapmbana na kuktika kwake)

Ngoro ngoro lia ngoro ngoro lia×2 nimeona mdege wengi mtini wametia fora wanipendeza mlio kama (nimesahau)
 
Tura mama nipishe nipite maama,mwalimu wetu kavunja rekodi mama, chama Tanu ee iyooiyoo Tanu ilianza mwaka?54 nani aliyeanzisha?baba nyerere chama Tanu ee iyoo iyooo
 
Back
Top Bottom