Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Hahaa hadi rahaaa,umenikumbusha mbaliiii jamanii kusubiria umeme na ukuti ukuti ilikuwa inanoga saaana,.ilikuwa full kubashiana lol[emoji12] [emoji85]Hao watoto wenu wa ushuani wanaosoma st anne maria sijui mary....huku kwetu uswazi kama kawa, juzi nimewasikia wanaimba ukuti ukuti saa mbili usiku umeme ulikuwa umekatika.....hawakuacha mpaka uliporudi nikasikia HUOOOOOOOOOOOOOOOO!