Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui

Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui

Amina
Amina kadala
Sinowea(hata sijui ilikuwa ndyo nini)
Amina tumpepe tumpempe
Amina magereza magereza
Amina dush dushi karanga dushi

Mwingine
Shilingi ya Nyerere katikati kuna mwenge
Zunguluka nyuma utamkuta mwenyewe
Sobisobi sobi samwela sobisobi sobi samwela

Utoto wa zamani raha sana
Duuu umenifanya nicheke
 
Balabala mselengetii yanitia wasiwasi
Siko moja nilikwenda roho yangu yasemaje. ..

Mshike mshike mtie nanga akileta matata muweke sawa....
Mshike mshike mtie nanga akileta matata muweke sawa.

Nipeleke Nipelekee waapiii kwa baresaaa kwa baresa kuna nini koni kwa mrija
Wanatengenezea nini maji ya mferejini
Kwanini unakula looh yazidi sukari....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo sasa kwenye kamba panavyo noga asikwambie mtu
 
Ukuti ukuti wa nazi wanzi ingia upepo tanga tanga hiiaa tanga serema hiaa pilipili kidonge chezaa chezaaa chezaaa
 
Nchi yetu Tanzania yajulikana duniani,tunaposafiri toka mwanza hadi shinyanga,tabora na manyon hata dodoma kwa wagogo×2kilosa morogoro mwisho ni darisalama
 
Kindubwe ndubwe chalia×2fulani kajikojolea na nguo kaitia moto


Asiye penda shule ni mjinga kabisa barua ikija atembeza kutwa×2 yeye huyo yeye huyo ni mjinga kabisa
 
Pepsi mirinda mbooo inadinda mpka kwenye mimba


Kuna mpuuzi mmoja alikuwa katuzidi miaka alikuwa anatufundisha matusi huyo nyingi nmesahau ila hyo moja hapo juu naikumbka kwasababu nilipigwa collabo ya kipigo na mshua na maza nilipita naimba bila wasiwasi nikavutiwa ndani
 
Huku kwetu masaki hatujuagi ayo....wa uswahili peaneni
nyinyi zenu hizi;


London Bridge is falling down,
Falling down, falling down.
London Bridge is falling down,
My fair lady.


London Bridge is broken down,
Broken down, broken down.
London Bridge is broken down,
My fair lady.

Build it up with wood and clay,
Wood and clay, wood and clay,
Build it up with wood and clay,
My fair lady.

Wood and clay will wash away,
Wash away, wash away,
Wood and clay will wash away,
My fair lady.


Build it up with bricks and mortar,
Bricks and mortar, bricks and mortar,
Build it up with bricks and mortar,
My fair lady.


Bricks and mortar will not stay,
Will not stay, will not stay,
Bricks and mortar will not stay,
My fair lady.

Build it up with iron and steel,
Iron and steel, iron and steel,
Build it up with iron and steel,
My fair lady.

Iron and steel will bend and bow,
Bend and bow, bend and bow,
Iron and steel will bend and bow,
My fair lady.

Build it up with silver and gold,
Silver and gold, silver and gold,
Build it up with silver and gold,
My fair lady.

Silver and gold will be stolen away,
Stolen away, stolen away,
Silver and gold will be stolen away,
My fair lady.


Set a man to watch all night,
Watch all night, watch all night,
Set a man to watch all night,
My fair lady.
 
Dada Pili eeh
Unaringa nini eeh
Kuna warembo duniani kushinda wewe
Tulikwendaga
Tukalikuta lidada
Linanesanesa kama shilingi ya mwinyi
 
nilonge nisilonge...longaaaaa
mwenzenu mahondaw.....eh heee
mchumba ake...... eh heee
buji buuuujiiii...eeeeeeeee (shangilia)
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] Aiiiiiiii aiiiiiiiiiiii naenda kukusemea kwa mama



Cc Smart911
 
Dada Pili eeh
Unaringa nini eeh
Kuna warembo duniani kushinda wewe
Tulikwendaga
Tukalikuta lidada
Linanesanesa kama shilingi ya mwinyi
Nikalitongoza daa
Likakubali daa
Tukaanza......ndani ya nyumba daa.....
 
Ukuti ukuti wa nazi wanzi ingia upepo tanga tanga hiiaa tanga serema hiaa pilipili kidonge chezaa chezaaa chezaaa
Ukuutii Ukuutii wa naazi wa naazi

Mwenzetuu Mwenzetuu kagoongwa kagoongwa,, naniinii naniinii nagarii nagarii tumpeleke hosipitali asije kusema kwa mama yake yeesa yeesa yeesa yeee bado kidogo yeesa yeesa yeee rudia tena yeesa
...


Cc Smart911
 
Mapera mapera
Mama kapika ubwabwa
Na kifaranga cha kuku
Tia hapa Tia hapa
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Kama hautaki niambie
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Nikae chini nilie
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Iyeee iyebaa


Loading. .......
 
Ushuani watoto pia wanachelewa kuongea, Huku kwetu Kwamtogole msuto unaanza ukiwa na mwaka mmoja. Ukifisha miaka miwili wewe ni mtaalamu hata matusi unayajua.
Kuna nyimbo za kurukia kamba unazikumbuka.
"Halima panda mlima,siwezi kupanda,kwa nini huwezi kupanda,naumwa uchungu,uchungu nani kakupa,kijana hasani ...........siku ya kwanza utamu dash dashi utamu siku ya pili utamu dash dash utamu...
 
Back
Top Bottom