Ana ana doo aspirin matido khalidoun kajambaaa ushuzi unanukaa tena sanna anatakiwa akatawazee namaji yamotoooooo huyooooo mkimbizeniiiMapera mapera
Mama kapika ubwabwa
Na kifaranga cha kuku
Tia hapa Tia hapa
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Kama hautaki niambie
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Nikae chini nilie
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Iyeee iyebaa
Loading. .......
Goma la utete Mwingereza kalitengeza, mwanamke hakutaki ya nini kumbe mbele za. Umempiga kiss na barua kumwandikia, anapita analia, msheli sheli na maua yake, yake msheli na maua yake msheli sheliKuna nyimbo za kurukia kamba unazikumbuka.
"Halima panda mlima,siwezi kupanda,kwa nini huwezi kupanda,naumwa uchungu,uchungu nani kakupa,kijana hasani ...........siku ya kwanza utamu dash dashi utamu siku ya pili utamu dash dash utamu...
Shikamoo bi mkubwaNilikuwa na mwenzanguu, nalimpenda moyoni
tarumbeta ikalia, tukaenda wote pia rafiki na mimiiii raafiki na mimi,
mwendo wetu wote sawa, tulikuwenda vitani, na rafiki karibu karibu yangu, tukaenda wote pia, pamoja na mimi pamoja na mimi.
na risasi ikampata akatoka moyo we, siku wahi kuagana kwa sababu kupiganaa, rafiki kwaheri, raaafiki kwaheri.
Tulifundishwa na mtu aliyepigana vita ya pili ya dunia that was in sixties tukiwa la kwanza. Alipigana Burma.
Mmmm haya mama ila kuna dogo anaitwa Young Dee kaiba ka kipisi cha wimbo huuGoma la utete Mwingereza kalitengeza, mwanamke hakutaki ya nini kumbe mbele za. Umempiga kiss na barua kumwandikia, anapita analia, msheli sheli na maua yake, yake msheli na maua yake msheli sheli
hiih!!! kaseme,kwani namuogopa mama ako (utoto raha sana)[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] Aiiiiiiii aiiiiiiiiiiii naenda kukusemea kwa mama
Cc Smart911
[emoji30] [emoji9] Sichezi naweweeee mimiii nimefuta urafikihiih!!! kaseme,kwani namuogopa mama ako (utoto raha sana)
Ushawahi kuimbiwa nini......?
Mapera mapera
Mama kapika ubwabwa
Na kifaranga cha kuku
Tia hapa Tia hapa
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Kama hautaki niambie
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Nikae chini nilie
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Iyeee iyebaa
Loading. .......
Hahahaha hiyo tuliimbaa... Sijui huwa kuna muunganiko gani hapoo...afuu hivyo viyange yange sivioni tena!!!Vipi yange yange walishawahi kukupa kucha nyeupe? Wakipita juu tulikuwa tubaimba
Yange yange nipe kucha nyeupeee....
Cha ajabu kweli kwenye kucha kunatokea vidoa vyeupe!
Utakuwa ulikuwa mtaalamu wa sobisobiDuuu umenifanya nicheke
poa na wewe usiniombe vitu vyangu[emoji30] [emoji9] Sichezi naweweeee mimiii nimefuta urafiki
Nilivyoona hii thread, wimbo wa kwanza kukumbuka ulikuwa Ukuti.Hao watoto wenu wa ushuani wanaosoma st anne maria sijui mary....huku kwetu uswazi kama kawa, juzi nimewasikia wanaimba ukuti ukuti saa mbili usiku umeme ulikuwa umekatika.....hawakuacha mpaka uliporudi nikasikia HUOOOOOOOOOOOOOOOO!