Ulikosa vitu vingi kimaisha. Mimi kama wewe nimekulia mitaa kama hiyohiyo ya uzunguni yaani Masaki, Oysterbay, Bugando, Capri Pint, Upanga.
Nilikuwa likizo lazima niende
Mwananyamala kwa mjomba maana hii michezo yote kule ndiko chuo kikuu na kimsingi yote hii ni kama ilianzia huko.
Niliona tofauti mtoto wa Uzunguni na Mwananyamala.
Watu wanadhani kukulia Uzunguni kuna raha, kuumbe si sahihi sana. Ukiachilia mbali mazingira ya kusoma lakini kwa furaha ya mtoto mazingira kama Mwananyamala yenye michozo kama hii inamjenga mtoto ujasiri.
Taabu ni kwamba mtoto anatakiwa akae kwa muda tu aondoke na arudi kusoma na kiukweli mitaa kama Mwananyamala haifai kwa mtoto kusoma.
Ndiyo maana binafsi ninayajua maisha ya aina zote yaani uswahilini na uzunguzi. Katika michezo ya watoto hakuna mahali pazuri kama uswahilini.
Katika kuanza kusoma mahala pazuri ni Uzunguni.
Sasa tabu yenu wenzangu mkishakuwa mnataka kuwa wabunge wa uswahilini ambako hamkukulia.
Huku kwetu masaki hatujuagi ayo....wa uswahili peaneni