TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Oh na na naaaaa! Eyaaaah INACHOMA
1.
Nimeajiriwa kwenye Ajira niliyojiajiriii,
Na ninasifiwa utendaji Wangu wa kazi ni nzuri,
Navumilia huenda nitapata kivuli,
Nitapata kivuli imeshakata miaka miwiliii,
Ndimu na ugali,maisha Makali,elimu iko mbaliii,
Lile jasho la halali,mpaka kabaliiii,
Bosi katili ,Naghairi na meza mate akili,
Mbona sina kivuli mi narumba najua kali,
Alfajiri,alasiri na adhuhuri,
Mwendo wa kufunga kandambili,ndio yangu stailiiii,
Jero nauli,baki mia Mbili,kazi na ugali,
Si ubahili mama sina pesa kweliii,
Mara dalali ,mara tapeli,sina habariii
Mi sina zari,sisaki mali nasala ugali.
KIITIKIO.
Ukiangaliaaaaaah inaumaaaa
Ukifikiriaaaaaaaah inachomaaaa. x 2
2.
Nimemkumbuka Nyerere,na muuliza Mandelaaa,
Angekuwepo mwalimu,Nani angeiba helaaa?
Mara RICHMOND,mara EPA
Wanaiba,wanatoka vitambi,kulipa wanakwepa,
Nchi inasifaa,ila wananchi maafaaa,
Ardhini kuna mafuta mengi,wanachonga mapipa.
KIITIKIO.
Ukiangaliaaaa inaumaaa,
Ukifikiriaaaaaa inachoma x 2
3.
Utengano dhaifu ,Jema alivuna Yusufu,
Mbona Kazini mabifu uchafu ,
Ubunifu hafifu?,
Wamachinga na hofu,wanakimbia siafu,
Wale na misahafu,hawa wanavunja Madafu
Bora kujisogeza sababu naweza,Shida zinafunza.
Staki kujilegeza,We utanikonyeza,mi sijapendeza,
Wanabadiri madini,
Wanavaa shingoni,
Mimi nayatamani,
Wananipita njiani, wanawahi kazini,
Nasubiri nini?
KIBWAGIZO
Ukiangaliaaaa inaumaaaa,
Ukifikiriaaaaaa INACHOMA x 2
3.
Vália valia magwanda kuongoza taifa,
Natabiri tutakuja kuzima nyufaa,
Nakuhisia,usije kubweteka sifa,
Si unachekishia,Raia tunavyotesekaaa,
KIBWAGIZO
UKiangaliaaa inaumaaaa,
Ukifikiriaaaah inachomaaa,
20% asilimia Chache sanaaa.