Nyinyi maskini wenzangu acheni kumsakama Diamond


Yaani nimemshangaa sana huyu bwana mdogo, sio kweli kwamba fedha na utajiri unapatikana kwa njia ya kufirwa au ushetani amenisikitisha sana hawa ndio wanasababisha ushoga unaongezeka.
Huyu bwana mdogo anatakiwa aelewe fedha na utajiri mzuri na wafuraha inapatikana kwa njia halali tu na sivyo anavyotaka kuhadaa vijana kwa bandiko na komenti zake za hovyo.
Mbona watu wengi tuna fedha lakini hatujazipata kwa njia haramu?
Huyu bwana mdogo atakuwa mvivu na anayependa mserereko
 
Acha zako , wacha tuuze roho kwa shetan tupate utajiri .inakuuma nini , unataka tuwe maskin kama wewe

Unajuaje mimi maskini? Maskini wa nini? Wewe uza mfugo ili kesho ukajining'inize 😂 😂 😂

Unajua ni watu maskini wanaoamini hawako kamili mpaka wawe na mabilioni bank. Halafu sote tunaishia kula sawa karibu kila kitu, mpaka kunya. Tofauti ni moja tu...mwingine bikra mwingine hana bikra😂😂😂.

Anatembea na majuto mjukuu. Hakai sawa tena mpaka alewe. Anaishi ili siku ziende na sio kufurahia maisha. That is the price poor people, who think by selling their souls to the devil will make them strong, pay. majuto majuto mpaka kaburini
 

Dayamondi aka Mpakwa mafuta.
 
Kwahyo diamond hana clean sheet sio?

Ila P Diddy hatari sn.😁😁
 
 

Attachments

Kabisa mkuu.
 
Hahaha. Ila Wabongo wanafiki sana hii gear uliyokuja nayo kumnanga Bw Naseeb Nyange imekataa kitaalamu sana.
 
wewe inaelekea unaliwa KIBOGA!!!,,,so unaona KIBOGA mwenzako anasakamwa na wewe roho inakuuma!!
 
[emoji23] tuache sisi na daimond platnumz tunaopenda mserereko, wewe fukara unaenda njia iliyonyooka umefanikisha nini kweny maisha zaid ya kunukaufukara hapo ulipo na zaid na umaskin wako unaenda kuhonga malaya huo ushoga mnaoupinga ndio hao wadada mnawala nyuma mna tofaut gani mbwa nyie.
 
Mimi nafurahia mafanikio ya wadogo zetu Watanzania ila wapo ndugu zetu wao wanachukia sana mafanikio ya Wadogo watawapa sifa zote mbaya ili kufurahisha nafsi zao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…