Nyinyi mnaokula mchana kipindi hiki ni akina nani? Mnatukera bwana

Kufunga kwako kusiwe kero kwetu
Wewe funga upate thawabu. sisi tulioamua kuishi maisha yetu bila kelele usitufanye kama watumwa wako bana.

Kama vipi hamia Zanzibar ambapo kila mtu analazimishwa kufunga hata kama siyo wa imani hiyo
 
Kupatwa kwa afya ya akili.
 
NAKAZIA
Depal
 
Funga ni Ibada,

Aliyefunga ndiye akae faraghani, tena asiache kupaka mafuta Wala kuchana nywele kujionyesha amefunga.

Angalizo, kuamka usiku Ili kula chakula, kunaongeza njaa na kuongeza kunyon'gonyea wakati wa mchana.

Amen
 
hamia uarabuni shehe. halafu hata wewe unapoteza muda, kufunga kwa mungu asiyeokoa, mungu asiye na nguvu kabisa. mnapoteza muda tu.
 
Kufunga ni Ibada ya hiyari sio kulazimishana hivyo basi Mtu aliyefunga kwa hiyari yake bila kulazimishwa hawezi kutetereshwa na Watu ambao hawajafunga kula chakula mchana hadi jioni.

Wale wanaokerwa na Mtu kula mbele yao hao wamelazimishwa kufunga au wamefuata MKUMBO tu.
 
Nililiishi Tanga, mwezi wa Ramadhan bakery hawatengenezi mikate, mama vitumbua hauzi, suphian wa mihigo hakaangi, ukienda kwa hamduni soda hakuuzii
mpaka nikajiuliza funga hairuhusu kujiingizia kipato
Sehemu yoyote aliokaa muarabu kuna umaskini.
Hata kwenye matokeo ya shule, za dini kuu zinakuwa za mwisho.
 
Dini ni umaskini na upumbavu
 
Acheni uninga kutengeneza chuki, wewe ni mkristo unaejifanya muislam ili ulete taharuki,

Itakusaidia nini kuleta chuki?
 
WEWE UNAJUA KABISA UNACHOKIFANYA , UMEANDIKA MAKUSUDI WAISLAM WATUKANWE, TUNAELEWA UNACHOFANYA


NI UILAMU UPI UNAMKATAZA MTU ASILE CHAKULA CHAKE AMBAE SIO KATIKA DINI YAKO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…