Nyinyi mnaokula mchana kipindi hiki ni akina nani? Mnatukera bwana

Sijawai ona mvaa kobazi mwenye akili hata mmoja!!
 
Waislam wapo kwenye Ramadan, wakiristo wapo kwaresma... Anayekula mchana ni nani? Au wasio kwenye hizi dini mbili ni wengi hivyo
 
Tumefikia huku unatupangia maisha kweli Tanzania ujinga unaongezeka ,kufunga kwako kunanisaidia nini mimi ?au kula kwangu kunakupunguzia nini?elimu elimu elimu
 
duuuh kupatwa kwa kufunga.....unafunga afu unaamka kula usiku wa manane .............inashangaza sana......
Kila dini ina sheria na taratibu zake za ibada. Mtume Muhammad (pbuh) katuelekeza kuwa Funga yetu sisi ni tofauti na funga waliyokuwa wamefaradhishiwa wana wa israel... Funga yetu tumehalalishiwa kula daku (chakula kabla ya alfajiri ya kweli) na chakula hiki kina baraka sana kwa mlaji na pia sio lazima kula ikiwa hujisikii kula chakula basi unaweza kunywa hata maji.
 
Hapa ndipo ninapo pata shida sana na uislamu.
Unafunga kutakasa moyo au unafuta tamaduni za waarabu?
Kwanini kufunga kwako ndio iwe sheria hata kwa sisi tusio husika?

AU ndio yale mimi sili nguruwe, ni kharamu ila kula matako ni halali!
Hakula kushuritishana ktk dini... Kufunga mwezi wa ramadhani sio faradhi (lazima) kwa asiyekuwa muislam. Kufunga mwezi wa Ramadhan ni nguzo ya nne katika nguzo kuu tano za Dini ya Uislam.
 
Nashauri ukapimwe mkojo na tatizo la afya ya akili, kwa hakika kuna mahali kichwa chako hakipo sawa.
 
Hii nchi sio ya kiislamu hatuna sharia law...au futari yako ndo mwendo wa magimbi
 
Unahangaikia wapi wewe?
Jali mambo yako na Imani yako tu haya mengine hayakuhusu
Unanisifia majizi na matapeli
Fuata uongo huo ila usishawishi watu kama wewe na familia yenu mmepotea kwa ujinga wa huo basi tuache na dini yetu sana
Uwe na Imani yako na mengine hayakuhusu sawa
This will be my last conversation with you
Have a nice one
 
Nyie ni wanafiki....na mnafanya maigizo
 
Mshenzi mkubwa! Kufunga kwako kunatuhusu nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…