Nyinyi wezangu mkitenda dhambi huwa hamuadhibiwi? Video za Balthazar zimefanya niadhibiwe usiku kucha

Nilipata mapigo makali kaka ni ngumu hata kuyaelezea nimeteseka sana usiku kucha

Hakika MUNGU ni MWAMINIFU kanirudi kwa mapigo
 
Ubinafsi na uchoyo mkuu ,,Kwan NAMI nikionaa c utakuwa umepataa mfuasi mwenzio wa kwenda naye moyonii🤪
Nishahama huko motoni niko kwenye uzima saa hii
 
Naishukuru roho yangu kwa kufanikiwa kuyafumba macho yangu dhidi ya hayo yote. Hizo ni mbinu za devil.
Na naona anafanikiwa kwa baadhi ya watu, maana nasikia wakimsifia jamaa kwamba yuko vizuri.

Hebu tazama vijana watakavyohaha kutafuta mbinu kama jamaa. 😢
 
AMINA Asante sana

Ukimwamini KRISTO utaona mengi sana
 
Ahaahha yule kamshinda shetani

Mpaka shetani karudi nyuma kidogo kujifunza kitu kutoka kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…