Nyinyi wezangu mkitenda dhambi huwa hamuadhibiwi? Video za Balthazar zimefanya niadhibiwe usiku kucha

Nyinyi wezangu mkitenda dhambi huwa hamuadhibiwi? Video za Balthazar zimefanya niadhibiwe usiku kucha

Wakati mwingine unaweza kumchallange kijana humu mwisho anakunanga oooh nyie wazee bana, oooh we unajua nini, ooh kwani lazima ureply!!.

Haya wewe umeandika mambo yako hapa japo target ni huyo mwenzako sijui bartaza, main point ilikuwa adhabu ila umepeperushwa na porn kwa kushindwa kuandika...

Ni adhabu gani uliyopata?.
Nilipata mapigo makali kaka ni ngumu hata kuyaelezea nimeteseka sana usiku kucha

Hakika MUNGU ni MWAMINIFU kanirudi kwa mapigo
 
Ubinafsi na uchoyo mkuu ,,Kwan NAMI nikionaa c utakuwa umepataa mfuasi mwenzio wa kwenda naye moyonii🤪
Nishahama huko motoni niko kwenye uzima saa hii
 
Naishukuru roho yangu kwa kufanikiwa kuyafumba macho yangu dhidi ya hayo yote. Hizo ni mbinu za devil.
Na naona anafanikiwa kwa baadhi ya watu, maana nasikia wakimsifia jamaa kwamba yuko vizuri.

Hebu tazama vijana watakavyohaha kutafuta mbinu kama jamaa. 😢
 
Leo unaposali, omba kila unachogusa kwa mikono yako kibarikiwe na kizae matunda. Kila akili yako inapotumika kufanya jambo lenye manufaa basi na likafanikiwe. Wale tunaopata riziki kupitia wao Mungu aendelee kuwabariki. Na pale vinywa vyetu vinapofunguka basi viongee busara
AMINA Asante sana

Ukimwamini KRISTO utaona mengi sana
 
Naishukuru roho yangu kwa kufanikiwa kuyafumba macho yangu dhidi ya hayo yote. Hizo ni mbinu za devil.
Na naona anafanikiwa kwa baadhi ya watu, maana nasikia wakimsifia jamaa kwamba yuko vizuri.

Hebu tazama vijana watakavyohaha kutafuta mbinu kama jamaa. 😢
Ahaahha yule kamshinda shetani

Mpaka shetani karudi nyuma kidogo kujifunza kitu kutoka kwake
 
Back
Top Bottom