Nyoka mwenye uwezo wa kuua kwa sekunde 5 apatikana

Alijaribiwa kumgonga binadamu ndo utafiti ukakamilika?
 
Watanzania kwa kutishana, hatujambo
 
[emoji478][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimeshindwa kucheka peke yangu bhaana,
Pa' Mac Alpho namtaka huyu nyoka as pet tafadhali sana..!!
 
Ni dawa ipi sahihi ya haraka kuzuia sumu ya nyoka ukiwa mbali na hospital kabla ya kufika hospital. Mfano ukiwa porini unaweza ukatumia au kujichoma.
Hiyo dawa hata kama unayo mfukoni sidhani kama utatoboa kwa sekunde 5
 
Akishaua na akisikia sauti za vilio vya watu, anakuja karibu ya tukio kusikiliza kinacho endelea, akisikia mazungumzo kuwa atafutwe na auliwe yeye hugeuka upinde wa mvua kisha hupaa juu angani.
... hapa nilijua akisogea karibu akasikia wanataka wamtafute wamuue anawatemea mate na kuwadedisha wote, kumbe muoga anakimbilia kujigeuza upinde wa mvua.!
 
Ni dawa ipi sahihi ya haraka kuzuia sumu ya nyoka ukiwa mbali na hospital kabla ya kufika hospital. Mfano ukiwa porini unaweza ukatumia au kujichoma.
Itoshe kusema hii Dunia imebeba mengi....

Miaka Mingi sana iliyo pita tulikua tunafanya usafi kwenye parking πŸ…ΏοΈ ya nyumbani.....
Kulikua Kuna mbao na vyuma na makolokoro ya mule parking πŸ…ΏοΈ ilibid kuyaweka sawa....
Wakat tunaendelea nikitoka nje kurudi ndani bro mtoto wa shangaz akamwona nyoka mweusi MKUBWA......

Nikiwa na shuhudia yule kaka angu aka mwendea nyoka kumpelekea mkono kumkamata...

Cha kushangaza nyoka alikamatwa kichwani ila alikua amemn'gata tayar mkononi akaniagiza wembe.....akamtoa meno Nika muuliza vip wewe akanambia mm na kinga Sumu ya nyoka haiwez nifanya kitu......

Huyu brother ana story pia......
KUNA KIPIND ALIWAI NIPA DAWA AMBAYO UKI I CHANGANYA NA MAFUTA MGANDO UKAENDA MGUSA MDADA AU MWANAMKE YEYOTE...MKONONI,BEGAN SEHEMU YEYOTE YENYE CONTACT LAZIMA A FALL IN LOVE KWAKO......
WENYE UZOEFU WANAWEZA KUFAFANUA....

Yule bro Alisha wai kuwa askari mamluki na akapelekwa kukiwasha Kongo ila walikuaga wanapikwa madawa.....

For sure hii Dunia imebeba mengi...
 
Huyu kwenye picha ukimnyoosha hawezi kuzidi mita kumi, kwahiyo ni mjukuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…