Nyongeza ya mishahara TUCTA wamasema wamepokea malalamiko, watatoa tamko

Katiba mpya itaondoa vyama kanjanja ambavyo having tija KWA jamii kama TUCTA NA CWT!!

Ndio màana tunalia na Katiba Mpya kama HIVI:-


"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA""!

Kama now hawawezi kusimamiwa then hata katiba mpya ikija still hawatosimamiwa

Katiba ni Jambo moja but wazimamizi wa hiyo katiba ni Jambo lingine

Sisi hatuna shida na katiba, Sisi tuna shida na wasimamizi wa katiba ambao bado wataendelea kuwepo hata tukileta katiba mpya kila wiki.
 
Mlizike aisee

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Tukta ninyi Ni makada sugu wa chama kijani hamuwezi kuwatetea wafanyakazi kuliko kutetea ukada wenu
...
 
Msitusumbue uchaguzi ukifika mnageuka kuwa makada pambaneni kivyenu
 
Magufuli hakuongeza mshahara ila mfumuko wa bei haukuwa kama huu ulivyo!

Yani umeongezwa elfu 20 alafu garama za maisha zimepand kwa laki 1..

Mkome kuwa machawa
Hakika Magufuli alikua nabii
 
Wat
Watumishi walioshangilia waliamini nyoka amezaa "HUA"
 
Ccm ndiyo inafanya zarau hivi kwa watumishi pamoja na kuvumilia miaka 6?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…