Kwani hizo meli ulitaka zijengwe lini? Kumbukumbu zinaonyesha awamu hii zitajengwa. We unadhani kilimo cha kisasa hakijaongezeka? Au unadhani mwa ka 2015 ni sawa na leo hii 2021?Mkuu 2015 mliahidi meli 5 ukanda wa pwani kwa ajili ya deep sea fishing??
Mliahidi zaidi kilimo cha kisasa kita ongezeka kwa 70%
Mliahidi ajira zaidi ya million 2
Usiongelee mishahara tu hizi ahadi mtatekeleza lini? CCM unaiamini kweli? mwaka wa 60 huu imefeli kila kitu.
Acha utoto mliahidi 2015-20 kwamba meli 5 zitaleta ajira direct na indirect elfu 40..... Zimefia wapi?Kwani hizo meli ulitaka zijengwe lini? Kumbukumbu zinaonyesha awamu hii zitajengwa. We unadhani kilimo cha kisasa hakijaongezeka? Au unadhani mwa ka 2015 ni sawa na leo hii 2021?
Nawezaje kupata vingine kama hivi?Vichekesho kutoka Lumumba!
Kuna mradi gani mkakati mlio ukamilisha kiasi cha kuwaongezea mishahara watumishi wa umma zaidi tu ya kumbwela mbwela?Tunawajua nyie ni watu wa kutake advantage kwenye kila tukio
Huko nyuma mlizoea kudandia ufisadi kama hoja kuu iliyowabeba kisiasa. Lakini zaidi ya miaka nne hamjabamba hoja ya ufisadi ya kuwabeba kisiasa.
Bila shaka mmesikia serikali y CCM inampango wa kuongeza bajeti toka tril 34+ mpaka tril 36+ na moja ya kipaumbele kimojawapo ni kupandisha madaraja watumishi wa umma na mishahara.
Kwa jinsi mnavyopenda kiki hamtachelewa kusema Lissu alitoa hii hoja ya kuongeza mishahara na serikali imeichukua. Mtajifanya mmesahau kuwa watumishi wa umma waliahidiwa kupandishwa mishahara pindi serikali ikikamilisha masuala muhimu hasa miradi mkakati.
Covid-19 wanagonga kama billion 19.Kama wameshindwa kuajiri graduates 1M na kuendelea unafikiri hiyo pesa ndo watatoa?
Siwezi kubishana na sisiemu mimiNaomba ujibu.
Hawa viumbe wanafanana na mabeberuCovid-19 wanagonga kama billion 19.
Chaguzi fake za waliokuwa wanaunga mkono juhudi. Chaguzi ndogo moja 300M.
Lakini pesa za kuajiri, increments na kupandisha madaraja hakuna.
Hivyo ndio vipaumbele vya mbana matumizi fake.
Yaani CCM ni Shetani kabisa.
Sasa hivi Magu hatembei na maburunguti ya pesa za kugawa mabarabarani ??
Hebu taja miradi mkakati miwili iliyokamilika!!Tunawajua nyie ni watu wa kutake advantage kwenye kila tukio
Huko nyuma mlizoea kudandia ufisadi kama hoja kuu iliyowabeba kisiasa. Lakini zaidi ya miaka nne hamjabamba hoja ya ufisadi ya kuwabeba kisiasa.
Bila shaka mmesikia serikali y CCM inampango wa kuongeza bajeti toka tril 34+ mpaka tril 36+ na moja ya kipaumbele kimojawapo ni kupandisha madaraja watumishi wa umma na mishahara.
Kwa jinsi mnavyopenda kiki hamtachelewa kusema Lissu alitoa hii hoja ya kuongeza mishahara na serikali imeichukua. Mtajifanya mmesahau kuwa watumishi wa umma waliahidiwa kupandishwa mishahara pindi serikali ikikamilisha masuala muhimu hasa miradi mkakati.
Mbona unaruka viunzi? Kwani ahadi ikiwa ni ya 2015-2020 ndio lazima utekeleze hata kama bajeti hairuhusu? Kwani hizo meli zikitengenezwa 2020-2025 kuna ubaya?Acha utoto mliahidi 2015-20 kwamba meli 5 zitaleta ajira direct na indirect elfu 40..... Zimefia wapi?
Kilimo cha kisasa mlidai mtafikisha zaidi ya hekta million 2 kutoka laki 4 hvi..... Mnatuona watoto wadogo sana eeh?
Unajua katiba ya warioba iliweka provision ya kuwajibisja waongo kwa kutumia ilani zao kma KPI. Haiwezekani mnaahidi hamtekelezi alafu mje hapa kujisifu upuuzi.
Nlifurahi sama uchambuzi wa Zitto na Matiko na kuonyesha kwa takwimu kwamba utekelezaji wa ilani ni chini ya 30%.... Ile hoja haikuwahi jibiwa mpaka leo. Nashangaa wapiga vigele gele mnalishwa upepo
Acha utoto mliahidi 2015-20 kwamba meli 5 zitaleta ajira direct na indirect elfu 40..... Zimefia wapi?Kwani hizo meli ulitaka zijengwe lini? Kumbukumbu zinaonyesha awamu hii zitajengwa. We unadhani kilimo cha kisasa hakijaongezeka? Au unadhani mwa ka 2015 ni sawa na leo hii 2021?
Bajeti ipi haikutosha? Issue hapa ni ahadi isiyotekelezeka.... Mbona ndege mmenunua kwa cash hta meli moja ya uvuvi iliwashinda?Mbona unaruka viunzi? Kwani ahadi ikiwa ni ya 2015-2020 ndio lazima utekeleze hata kama bajeti hairuhusu? Kwani hizo meli zikitengenezwa 2020-2025 kuna ubaya?
Huyu Zitto ana uwezo gani wa kudadavua masuala ya uchumi zaidi ya Prof Lipumba? Kaa kimya ndugu.
Stendi ya mbezi ya kimkakati? How? Yaani kujenga stendi ni mkakati? Embu ongelea SGR,bomba la mafuta,Gesi ya off shore lindi, Mchuchuma na Liganga ama Bandari ya kalemie n.kMradi wa maji Isaka to Tabora na stendi ya mabasi Mbezi.
hakuna hoja ya kujibu hapa naona umeandika pumba tu, ngoja niangalie comment zingineDeni la Taifa linazidi kukua tu kila uchao...CCM acheni kukopa kimya kimya hizi hela mtazilipa nyie? Afu at the background mnajidai eti nyie ni matajiri..tajiri gani huwa anajitangaza mtaani.
Ahahahaaaaaa [emoji23][emoji1787]. Miaka sita !!. Thamani ya pesa imeshuka mara ngapi ?!.Tunawajua nyie ni watu wa kutake advantage kwenye kila tukio
Huko nyuma mlizoea kudandia ufisadi kama hoja kuu iliyowabeba kisiasa. Lakini zaidi ya miaka nne hamjabamba hoja ya ufisadi ya kuwabeba kisiasa.
Bila shaka mmesikia serikali y CCM inampango wa kuongeza bajeti toka tril 34+ mpaka tril 36+ na moja ya kipaumbele kimojawapo ni kupandisha madaraja watumishi wa umma na mishahara.
Kwa jinsi mnavyopenda kiki hamtachelewa kusema Lissu alitoa hii hoja ya kuongeza mishahara na serikali imeichukua. Mtajifanya mmesahau kuwa watumishi wa umma waliahidiwa kupandishwa mishahara pindi serikali ikikamilisha masuala muhimu hasa miradi mkakati.
andamana bacAcha utoto mliahidi 2015-20 kwamba meli 5 zitaleta ajira direct na indirect elfu 40..... Zimefia wapi?
Kilimo cha kisasa mlidai mtafikisha zaidi ya hekta million 2 kutoka laki 4 hvi..... Mnatuona watoto wadogo sana eeh?
Unajua katiba ya warioba iliweka provision ya kuwajibisja waongo kwa kutumia ilani zao kma KPI zao. Haiwezekani mnaahidi hamtekelezi alafu mje hapa kujisifu upuuzi.
Nlifurahi sama uchambuzi wa Zitto na Matiko na kuonyesha kwa takwimu kwamba utekelezaji wa ilani ni chini ya 30%.... Ile hoja haikuwahi jibiwa mpaka leo. Nashanhaa wapiha vigele gele mnalish
Bajeti ipi haikutosha? Issue hapa ni ahadi isiyotekelezeka.... Mbona ndege mmenunua kwa cash hta meli moja ya uvuvi iliwashinda?
Anyway kilimo cha kisasa mlichoahidi kukipandisha kwa zaidi ya 70% mmefikia wapi? Au bajeti haikutosha ila imetosha kujenga uwanja wa chato?
Unajua nchi yetu hii tuna tatizo la vipaumbele...... Hivi hayo mabilion ya chato au kuhamisha mbuga kwenda Bugiri yangewekezwa kwenye kilimo kwanza tungekuwa wapi sahvi?
kupandisha madaraja watumishi wa umma na mishahara.
Vijana wa Lumumba likija swala la data huwa mnashindwa kujibu hoja......andamana bac
we ni mpumbavuKutolipwa mishahara sio kwamba hawatalipwa. Kumbuka mchakato wa serikali kulipa madeni mrefu sana.