Nyongeza ya mshahara inakuja. CHADEMA msidandie gari kwa mbele

Nimuambia huyu dogo kuwa 98% ya watumishi wa umma hawakupata mishahara ya mwanzo akadhani ninamtania.Utumishi wa umma ni kujitolea.
We unadhani itakuaje endapo jiwe asipolipwa mshahara na posho kwa miezi 3....??
 
Tunawajua nyie ni watu wa kutake advantage kwenye kila tukio...

Nimecheka kwa nguvu, una bajeti ya 36t huku makusanyo yako yote hayafiki 25t@year. Hiyo 10t unakwenda kuipata wapi ili uongeze mishahara?
 
Kwani hizo meli ulitaka zijengwe lini? Kumbukumbu zinaonyesha awamu hii zitajengwa. We unadhani kilimo cha kisasa hakijaongezeka? Au unadhani mwa ka 2015 ni sawa na leo hii 2021?
Wewe ni mwehu kichwa maji
 
Narudia tena wewe huko kichwani ni bure kabisa endelea tu kusifu na kuabudu kutoka lumumba FC buku saba
 
Kama wameshindwa kuwalipa walimu waliosahihisha mitihani ya NECTA mpaka sasa

Je, hiyo pesa ndio watatoa?

Je, wajua kua ajira mpya mpaka sasa baadhi yao hawajalipwa mshahara?
[emoji2379][emoji2307]
 
Nimecheka kwa nguvu, una bajeti ya 36t huku makusanyo yako yote hayafiki 25t@year. Hiyo 10t unakwenda kuipata wapi ili uongeze mishahara?
Kukosa elimu ni tatizo kubwa sana. Kwa hiyo umekariri kuwa bajeti ya serikali huwa inatengenezwa kutegemea makusanyo peke yake?
 
Stendi ya mbezi ya kimkakati? How? Yaani kujenga stendi ni mkakati? Embu ongelea SGR,bomba la mafuta,Gesi ya off shore lindi, Mchuchuma na Liganga ama Bandari ya kalemie n.k

Be serious
Ahaaa, hujui umuhimu wa stendi ya ubungo kwa uchumi wa kusini mwa africa na Africa mashariki? Hio stendi ni kiungo muhimu sana kukuza biashara na nchi jirani.
 
Tunawajua nyie ni watu wa kutake advantage kwenye kila tukio...
Wewe ni taahira usiyejua lolote kwenye mtumishi wa umma. Unaleta hoja ya kipuuzi afu unawazuiya watu wasijadili ati wanadandia hoja kwa mbele? Ujinga ujinga.

Watumishi hawajaongezewa mishahara kwa miaka 5 bila sababu za maana wewe unaandika upuuzi hapa?

Issue za mishahara zipo kwa mujibu wa sheria wala siyo upendeleo kutoka kwa huyo kichaa wenu
 
Tunawajua nyie ni watu wa kutake advantage kwenye kila tukio...
Waambie pia walisjesema kuwa hata deni la taifa kupanda ilikuwa mawazo ya Tundu Lissu maana hawachelewi kujisifia kuwa serikai imechukua mawazo ya lissu ili kupandisha deni la taifa
 
Kukosa elimu ni tatizo kubwa sana. Kwa hiyo umekariri kuwa bajeti ya serikali huwa inatengenezwa kutegemea makusanyo peke yake?

Deni la taifa limeongezeka kwa 20t ndani ya hii miaka mitano, na uhusiano wetu na nchi wahisani sio mzuri kutokana na siasa za kishenzi za awamu ya 5. Ni wapi utapata 10t kufikia hiyo bajeti hewa?
 
Tunawajua nyie ni watu wa kutake advantage kwenye kila tukio

Huko nyuma mlizoea kudandia ufisadi kama hoja kuu iliyowabeba kisiasa. Lakini zaidi ya miaka nne hamjabamba hoja ya ufisadi ya kuwabeba kisiasa....
Kama akili yako ndo hii basi ni tatizo
 
Ahaaa, hujui umuhimu wa stendi ya ubungo kwa uchumi wa kusini mwa africa na Africa mashariki? Hio stendi ni kiungo muhimu sana kukuza biashara na nchi jirani.
Mradi wa kimkakati kwani gharama za ujenzi wa Stendi ni zaidi ya bandari au SGR? kiasi kwamba mishahara haiwezi ongezwa kisa stendi inajengwa?

Weird
 
Sasa wanadandiaje kwa mbele takataka kabisa wewe ..kwanza chadema ndio akina nani, kwani nchi hii si inatawaliwa na ccm tu au
 
Mradi wa kimkakati kwani gharama za ujenzi wa Stendi ni zaidi ya bandari au SGR? kiasi kwamba mishahara haiwezi ongezwa kisa stendi inajengwa?

Weird
Ishu ni gharama boss? Au ni kuwa na mradi ambao utazalisha fursa na kuchochea kukua kwa uchumi?

Bandari ya uvuvi na meli za uvuvi zipo kwenye pipeline, nini kinachokupa hofu? Hata kama wakianza na meli mbili kubwa zinazoweza kuvua deep sea. Kwa uwezo wa kibajeti wa nchi yetu ni mwanzo mzuri.
 
Deni la taifa limeongezeka kwa 20t ndani ya hii miaka mitano, na uhusiano wetu na nchi wahisani sio mzuri kutokana na siasa za kishenzi za awamu ya 5. Ni wapi utapata 10t kufikia hiyo bajeti hewa?
Unapost kama unapapasa kamanda. Mahusiano na wahisani ni mabaya? Deni kukua huku linalipika kuna tatizo?
 
Ww umedai mishahara ingepandishwa baada ya miradi ya kimkakati..... Mfano wako ni Stendi ya mbezi!! Hvi seriously huwezi pandisha mshahara kisa stendi? Ina maana stendi inazuia hta kupandisha mshahara wa wizara 1?

Meli za uvuvi zipo kwenye mpango upi? Mpango wa maendeleo umeainisha kwamba hizo meli mbili zitaletwa? Hvi nchi kubwa kma hii inakosa meli za deep sea fishing? Ni aibu sana
 
Deni la Taifa linazidi kukua tu kila uchao...CCM acheni kukopa kimya kimya hizi hela mtazilipa nyie? Afu at the background mnajidai eti nyie ni matajiri..tajiri gani huwa anajitangaza mtaani.
Tabia zao kama za member wa qnet vile.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…