Nyongo ya mamba ni sumu kali inayouwa kwa haraka zaidi

Kuna wengine wanamix na mavitu ya kichawi mzee,ujuzi unatofautiana mkuu.
 
Hua haiuzwi kiholela sijawahi kusikia mtu anauza,ila kwa kuanzia jaribu kwenda Kibondo anzia Mabamba,shuka hdi Kakonko Anzia Rugenge na Gwarama hope nimekupa pa kuanzia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maeneo ya kibondo haiwezi kosekana maana uchawi unauzwa sokoni!!!
 
Hiyo sumu huwa haipatikani kwa urahisi na mara nyingi hutumiwa na watu ambao ni mahasimu km ndugu wanaogombania mali ya ukoo

Au mume wa mtu anatoka na mke wa mtu kumkomesha anawekewa kwenue kinywaji chake

Mchezo huu upo maeneo ya visiwa vya ziwa victoria.......!! ....wakerewe,wajita , waluli , wanatabia hii ya kukuwekea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nyongo ya mamba + mate ya kenge no dawa nzuri sana ya nguvu za kiume,ikitumika kwa kipimo maalumu sio ujinywee tu,Utakufa wewe..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…