Nyongo ya mamba ni sumu kali inayouwa kwa haraka zaidi

Nyongo ya mamba ni sumu kali inayouwa kwa haraka zaidi

Hii sumu si kwamba mshirikina peke yake anaitumia isipokua hata mtu baki anaweza kutumia kuhusu ufanyaji kazi inaenda kushambuliwa Ini,hapa katika ini hutofautiana na wingi wa sumu akitaka ufe taratibu anakuwekea kidgo maximum hhuwezi kuzidi miezi 9,unafariki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari Sana Mkuu kama ndio hiyvi inaua taratibu.
 
Hiyo sumu huwa haipatikani kwa urahisi na mara nyingi hutumiwa na watu ambao ni mahasimu km ndugu wanaogombania mali ya ukoo

Au mume wa mtu anatoka na mke wa mtu kumkomesha anawekewa kwenue kinywaji chake

Mchezo huu upo maeneo ya visiwa vya ziwa victoria.......!! ....wakerewe,wajita , waluli , wanatabia hii ya kukuwekea

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha ulongo!
 
Walikua wanatumia babu zangu zamani waliuana kinyama ila kuna kisa kimoja babu mzaa baba alipona alikua nusu avute alivimba tumbo kama pipa sijui alifanyaje anajua yeye ila alipona baadaee miaka 30 alikuja fariki baadae na kitu kingine ila alilipiza kisasi kwa aliemtegea,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom