OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kwa hiyo tumekosea kusema alikuwa mchezaji wa Yanga?Hayo ni maisha yake, Yana uhusiano upi na yanga?
Mbona mafumbo mengi?
Mafumbo gani?Mbona mafumbo mengi?
Jina lake nan
Kacheza zamani kidogo about 10yrs back, ila riziki popote.Kipanya Malapa, alikuwa mshambuliaji hatari sana wa Singida, akasajiliwa Yanga alicheza nahisi misimu miwili tu akapotea, alikuwa ana dread fulani. Those days.
Umeolewa?Bora ana kitu cha kufanya, haibi, haombi. Ndiyo uanaume huo. Ukiteleza hapa unaibukia pale.
Najua hapo unachotaka Yanga inangwe.
Nimeoa wanaume 3. Bado mmoja unataka nawewe?Umeolewa?