Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati huo ukisoma chief senge halafu unaishi majengo siyo!!?[emoji28]Tukitoka shule kabla ya kwenda home tukwenda kumtazama Kipanya Malapa pale Namfua
Kama Msuva na Ally mayayi au?Bora hata angekuwa ameichezea Simba,saa hizi angekuwa mbali sana...
Koh Koh Koh, yauh yauh (in harmonize's voice)😅😅😅😅Nimeoa wanaume 3. Bado mmoja unataka nawewe?
Sawa alikuwa mchezaji wa Yanga, je, Yanga inahusika vipi na yeye kuuza mishkaki???View attachment 2534550
Mchezaji wa zamani wa Yanga SC na Singida United Kipanya Malapa amefungua biashara ya mishikaki na kachori maeneo ya nyumbani kwao Buguruni.
Kipanya anamshukuru sana mchezaji mwenzie wa Yanga Said Maulidi Kalikula kwa kumuunga mkono na kuomba wadau wengi wapite maeneo ya Buguruni Kona kupata huduma ya mishikaki laini na kachori.
My Take
Feisal komaa mdogo wangu. Wewe sio wa kula ugali chumvi
Kwa hiyo ulitaka tusemajeSawa alikuwa mchezaji wa Yanga, je, Yanga inahusika vipi na yeye kuuza mishkaki???
Kuna mwaka fulani nilisoma habari Emmanuel Eboue maisha yamempiga, hadi anaishi kwa kuunga unga, au former England and Portsmouth goalkeeper, David James, alifilisika, akawa anauza tuzo na other collections zake. Hao wote, walikuwa hivyo kutokana na divorce, kufeli kwao huwezi kuhusisha timu walizochezea.
Itakuwa Fei akiona hivi ndo kabisaa hataki kuisikia Yanga.Sawa alikuwa mchezaji wa Yanga, je, Yanga inahusika vipi na yeye kuuza mishkaki???
Kuna mwaka fulani nilisoma habari Emmanuel Eboue maisha yamempiga, hadi anaishi kwa kuunga unga, au former England and Portsmouth goalkeeper, David James, alifilisika, akawa anauza tuzo na other collections zake. Hao wote, walikuwa hivyo kutokana na divorce, kufeli kwao huwezi kuhusisha timu walizochezea.
Msemeje wewe na nani mkuu?Kwa hiyo ulitaka tusemaje
Argggg mtani 😬😬😬😂😂Nimeoa wanaume 3. Bado mmoja unataka nawewe?
Ukiachana na issue ya talent, mpira ni kazi kama zilivyo kazi zingine. Sio dhambi kubadili ofisi, afate taratibu, then aende.Itakuwa Fei akiona hivi ndo kabisaa hataki kuisikia Yanga.
View attachment 2534550
Mchezaji wa zamani wa Yanga SC na Singida United Kipanya Malapa amefungua biashara ya mishikaki na kachori maeneo ya nyumbani kwao Buguruni.
Kipanya anamshukuru sana mchezaji mwenzie wa Yanga Said Maulidi Kalikula kwa kumuunga mkono na kuomba wadau wengi wapite maeneo ya Buguruni Kona kupata huduma ya mishikaki laini na kachori.
My Take
Feisal komaa mdogo wangu. Wewe sio wa kula ugali chumvi
Hakuna pengo lake na haitajiki.Ukiachana na issue ya talent, mpira ni kazi kama zilivyo kazi zingine. Sio dhambi kubadili ofisi, afate taratibu, then aende.
Toka ili sakata lianze, hivi ni mechi gani, unahisi kulikuwa na pengo la Fei?
Correction
Hiyo inakuwa kukomoana. Kinachotakiwa ni timu ambayo imeamua kumboreshea maslahi, basi ikutane na uongozi wa Yanga kwa ajili ya kufanya biashara.Hakuna pengo lake na haitajiki.
Sasa aadhibiwe kwa kuendelea kupokea mshahara wake bila kucheza mpaka mkataba uishe kisha aondoke. Yanga imeshinda tushangilie.
Au kuna adhabu nyingine imeandaliwa?
Thamani ya kuuzwa Fei itapimwa kwa mkataba wake au kiwango uwanjani?Hiyo inakuwa kukomoana. Kinachotakiwa ni timu ambayo imeamua kumboreshea maslahi, basi ikutane na uongozi wa Yanga kwa ajili ya kufanya biashara.
Hiyo option ya kuchukua mshahara bila kucheza, mara nyingi huwa inafanywa na wachezaji wenyewe, hasa endapo wanakuwa hawahitajiki tena kwenye kikosi, ila hawataki kuuzwa. Ila ni nadra kukuta timu inafanya ilo jambo
Mara nyingi kinachoamua Bei ni uhitaji ilionao hiyo timu, urefu wa mkataba wa mchezaji na mwisho kiwango chake wakati huo.Thamani ya kuuzwa Fei itapimwa kwa mkataba wake au kiwango uwanjani?
Bora ana kitu cha kufanya, haibi, haombi. Ndiyo uanaume huo. Ukiteleza hapa unaibukia pale.
Najua hapo unachotaka Yanga inangwe.