Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Mkuu kama hataendelea kuonekana eneo la kazi ataadhibiwa kwa kusitishiwa mshahara wake hasa baada ya muda fulani kulingana na makubaliano ya kimkataba. Then mambo mengine yatafuata.Hakuna pengo lake na haitajiki.
Sasa aadhibiwe kwa kuendelea kupokea mshahara wake bila kucheza mpaka mkataba uishe kisha aondoke. Yanga imeshinda tushangilie.
Au kuna adhabu nyingine imeandaliwa?
Mkuu ivi ushawahi ku sign mkataba wowote wewe?