Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okey, tupo Sawa.Sasa hapo ndio umekuja kwenye nilichokuwa naongea mwanzo. Ukiachana na kipaji, ila mpira nao ni biashara, wachazaji wanatakiwa kutengeneza hela.
Fei kama ameona sehemu nyingine kuna maslahi mazuri kwake kuliko Yanga, basi atumie njia nzuri ya kuondoka. Hiyo timu ionane na Yanga, wauziwe Fei, then maisha yaendelee
Vyote vinahitajika, utaratibu ufatwe Kisha kiasi cha hela watakachopatana kilipwe.Okey, tupo Sawa.
Unadhani suala ni taratibu za club nyingine au suala ni pesa ambayo Yanga wanaitaka ili wamwachie?
Tayari Yanga wamekataa ofa Ya Fei kuvunja mkataba wake na hawajaweka wazi wanataka kiasi gani kutoka kwake ili wamwachie aondoke.
Yanga watakuwa tayari kumwachia Fei kwa thamani ambayo timu nyingine itakuwa tayari kulipa badala ya kusubiri aondoke bure?
Okey. Vipi iwapo hakuna club na Fei haitaki Yanga kwa sababu binafsi? Yanga haitakiwi kumwambia ni kiasi gani atoe ili wamuachie?Vyote vinahitajika, utaratibu ufatwe Kisha kiasi cha hela watakachopatana kilipwe.
Toka ili sakata lianze, umeshawahi Sikia panazungumziwa ni kiasi gani kinahitajika? Unajua kwann? Kwasababu hapajakuwa na mazingira ya utulivu kujadili, Bali kumekuwa na mashitaka tu.
Timu inayomtaka Fei, sio inayotakiwa kusema thamani ya Fei ni kiasi gani then ikilipe. Wao wanatakiwa kuonesha Nia kwa kutuma maombi, then Yanga ndio wataje Bei. Na ikitokea wameshindwana ,na hiyo timu ikajitoa kwenye ilo deal, alaf na upande wa Fei nae akagoma kuongeza mkataba, basi itabidi arun down mkataba then aondoke free, kama alivyofanya Pogba
Sasa hapo ndio TFF, CAS au Fifa zitahusika kuangalia namna ya kusolve ilo jambo.Okey. Vipi iwapo hakuna club na Fei haitaki Yanga kwa sababu binafsi? Yanga haitakiwi kumwambia ni kiasi gani atoe ili wamuachie?
Hapana, naomba kumjibia mleta mada, anamaanisha kuwa life is dynamic, " Dunia tambala bovu, tunalidekia kwa shida"!Bora ana kitu cha kufanya, haibi, haombi. Ndiyo uanaume huo. Ukiteleza hapa unaibukia pale.
Najua hapo unachotaka Yanga inangwe.
Sawa. Tuishie hapa maana hata Huko TFF keshashindwa. Tusubiri atakapoelekea.Sasa hapo ndio TFF,CAS au Fifa zitahusika kuangalia namna ya kusolve ilo jambo.
Maana huwezi amka ukaamua tu kwasababu zako binafsi kuwa hutaki kuendelea kuwepo kwenye hiyo timu. Kama kesi itafikishwa mbele ya vyombo husika, watahitaji kujua hizo sababu zako binafsi ni zipi na zinahusiana vipi na mpira. Na je zimesababishwa na waajiri wako au la.
View attachment 2534550
Mchezaji wa zamani wa Yanga SC na Singida United Kipanya Malapa amefungua biashara ya mishikaki na kachori maeneo ya nyumbani kwao Buguruni.
Kipanya anamshukuru sana mchezaji mwenzie wa Yanga Said Maulidi Kalikula kwa kumuunga mkono na kuomba wadau wengi wapite maeneo ya Buguruni Kona kupata huduma ya mishikaki laini na kachori.
My Take
Feisal komaa mdogo wangu. Wewe sio wa kula ugali chumvi
nioe mimi...
Sasa hapo ndio TFF,CAS au Fifa zitahusika kuangalia namna ya kusolve ilo jambo.
Maana huwezi amka ukaamua tu kwasababu zako binafsi kuwa hutaki kuendelea kuwepo kwenye hiyo timu. Kama kesi itafikishwa mbele ya vyombo husika, watahitaji kujua hizo sababu zako binafsi ni zipi na zinahusiana vipi na mpira. Na je zimesababishwa na waajiri wako au la.
Mkuu Asante. Huyo mwamba anajua kutengeneza hoja. Hata kama hukubaliani naye, utahoji kwa kumuheshimu sababu amekuheshimu regardless ya kutokukubali ulichokisema.
Aende CAS sasaKwa kufuata kananuni na sheria za kimkataba dogo amelowa,,,, anachohitaji ni huruma tu
Mkuu Asante. Huyo mwamba anajua kutengeneza hoja. Hata kama hukubaliani naye, utahoji kwa kumuheshimu sababu amekuheshimu regardless ya kutokukubali ulichokisema.