Nyota wa zamani wa Yanga afungua kijiwe cha mishkaki

Nyota wa zamani wa Yanga afungua kijiwe cha mishkaki

View attachment 2534550

Mchezaji wa zamani wa Yanga SC na Singida United Kipanya Malapa amefungua biashara ya mishikaki na kachori maeneo ya nyumbani kwao Buguruni.

Kipanya anamshukuru sana mchezaji mwenzie wa Yanga Said Maulidi Kalikula kwa kumuunga mkono na kuomba wadau wengi wapite maeneo ya Buguruni Kona kupata huduma ya mishikaki laini na kachori.

My Take
Feisal komaa mdogo wangu. Wewe sio wa kula ugali chumvi
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Fei toto ameliona Hilo akakimbia Sasa kama kijana anakuja ugali sukari je akizeeka!?utopolo hovyo sana
 
Mtawaua yanga jamani, Bora mama feisal kasema.PIGANA MAMA.
 
Kipanya Malapa HAKUWAHI KUCHEZA YANGA.alifanya majaribio pale KAUNDA lkn lilipofika suala la usajili HAKUSAJILIWA. alikuwa yy pamoja na OMARY MSWAKI akitokea Bandari ya Mtwara.
 
Bora ana kitu cha kufanya, haibi, haombi. Ndiyo uanaume huo. Ukiteleza hapa unaibukia pale.
Najua hapo unachotaka Yanga inangwe.
Kama umeolewa hakika mumeo kapata mke bora comment yako ina mamlaka ya kutia moyo [emoji109][emoji109]
 
Itakuwa mamake alimnebesha majukumu Kama fei.mama Yule alikuwa anadanga kusomesha Fei .milioni 4 hawezi kutosha Kama upande wa mama na baba wanakutegemea na watoto wao.jinsi uxazi ulivyo znz mshahara wa mbunge haumtoshi!
 
Back
Top Bottom