Nyota ya kijana wangu Makonda inang’aa sana! Mungu amtangulie

Nyota ya kijana wangu Makonda inang’aa sana! Mungu amtangulie

Tangu nimemfahamu Makonda kama mkuu wa wilaya na baadaye kuteuliwa kama mkuu wa mkoa wa Dar, nimekuwa nikiona namna anavyopambana kutatua kero za wananchi. Wakati mwingine kuziongelea tu hata kama hana uwezo wa kuzitatua.

Vilevile makonda ni mbunifu sana kitu ambacho kinamfanya watu wengine wamuone kama anajijenga yeye badala ya chama. Maneno ya uchochezi.

Wananchi walikosa mtu wa kuwasikiliza kero zao; Mungu kamleta Makonda tena. Hakikisha kero zinamfikia Rais wetu mpendwa ambaye pia amejaliwa kuwa na usikivu na bahati nzuri ana final say.

Binafsi namuombea afike pale ambapo Mungu amempangia!

Hayo ni yangu ya moyoni kabisa.
Ingekuwamo kauli ya aporomoshwe kama hajafanya toba ya kweli ningeeelewaaaamo🤔
 
Kuwekewa vikwazo kuingia USA ni kitu cha kawaida sana husisani kama kuna vitu unaenda nao tofauti.

Mfano:
- kupinga ushoga

Ninachikisema ni kwamba huyo kijana wangu Makonda nyota yake inang’aa sana na mimi binafsi namuombea kwa Mungu afike pale ambapo Mungu amempangia kufika.
Afike pale Mungu amempangia kufika !
Inaweza kuwa mahali pazuri au pabaya !
Itategemeana na matendo yake !
Ngoja Tusubiri tuone !!
 
Tangu nimemfahamu Makonda kama mkuu wa wilaya na baadaye kuteuliwa kama mkuu wa mkoa wa Dar, nimekuwa nikiona namna anavyopambana kutatua kero za wananchi. Wakati mwingine kuziongelea tu hata kama hana uwezo wa kuzitatua.

Vilevile makonda ni mbunifu sana kitu ambacho kinamfanya watu wengine wamuone kama anajijenga yeye badala ya chama. Maneno ya uchochezi.

Wananchi walikosa mtu wa kuwasikiliza kero zao; Mungu kamleta Makonda tena. Hakikisha kero zinamfikia Rais wetu mpendwa ambaye pia amejaliwa kuwa na usikivu na bahati nzuri ana final say.

Binafsi namuombea afike pale ambapo Mungu amempangia!

Hayo ni yangu ya moyoni kabisa.

Watoto wakikusumbua sana unawatafutia dude wahangaike nalo upumue kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo kama nyota yake inang'aa, basi ni katika kudhulumu, haki za kuishi raia wengine!

Hakuna eneo linguine, ambalo utasema kuwa nyota ya huyo kijana wako inang'aa

Ushahidi kuna nchi moja ya Magharibi, imempigs marufuku yeye na familia yake yote, marufuku kukanyaga tena katika Ardhi ya nchi hiyo!
Hiyo nchi ya magharibi ilikuwa inataka mtoto wako wa kiume aolewe na kidume mwenzake na hako katoto kako ka kike kaolewe na dem mwenzake. Sijui mdhulumaji wa haki ni nani hapo. Bure kabisa haya maufipa
 
Kuwekewa vikwazo kuingia USA ni kitu cha kawaida sana husisani kama kuna vitu unaenda nao tofauti.

Mfano:
- kupinga ushoga

Ninachikisema ni kwamba huyo kijana wangu Makonda nyota yake inang’aa sana na mimi binafsi namuombea kwa Mungu afike pale ambapo Mungu amempangia kufika.
hii inshu ya kuwekewa vikwazo na USA Ina jambo la NYUMA ya pazia, Wala SI la kisiasa kama watu wanavyojua Iko hivi
Wakati makonda Akiwa mkuu wa mkoa allikua ni jirani na BALOZI WA MAREKANI kimakazi pale oysterbay, mkabala na UWANJA WA FARASI, tatizo lilianzia pindi Makonda alipoongeza urefu WA uzio WA ukuta WA Nyumba yake, ukapanda juu zaidi ya nyumba ya BALOZI na akaongeza na CAMERA ambazo barozi alitafasiri kama zinalenga makazi yake,
Kitendo kilimukera BALOZI, akamuita makonda avunje ukuta na kupunguza urefu makonda akakataa, akamwambia aondoe camera Hilo nalo likapingwa na makonda,
Wakawa ni majirani wasiopatana hiki ndo kilipelekea kufika huko kupigiwa BANN
 
Kwa mtu mwenye uelewa mdogo atasema haya uliyoandika.
Anyway, ndio mwisho wa kufikiri kwako ulipoishia.
Ila kwa mwenye akili huyu hapana
 
Huyo kama nyota yake inang'aa, basi ni katika kudhulumu, haki za kuishi raia wengine!

Hakuna eneo linguine, ambalo utasema kuwa nyota ya huyo kijana wako inang'aa

Huyu aliyedanganya mchana kweupe kuwa Chadema wamependekeza tuwe na wabunge zaidi ya 700?
Huyu ambaye US walisema anadhulumu uhai wa binadamu wenzie?
Punguza uchawa
Huyo huyo aliyevamia Clouds TV Kwa mitutu ya bunduki?

Kama wewe ni chawa wake, basi ushindwe!
 
Hivi kazi ya mwenezi ni kutatua Kero za wananchi? Kwakweli tunahitaji katiba mpya haraka mno

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndio pahali penyewe.nakuuliza swali utaeneza kitu gan ikiwa huwez kuuliza jins ilan yako inavyotekelezwa? Umeahid maj wananch. Mwenye jukum la kueneza ilan anauliza wananch je maji hayo kama tulivyoahid hayajapatikana, mwenez afanyeje? Kama sio kummuliza anayehusika je hapa wananch wanalalamika maji na sisi tuliahid mbona imekua sio.hicho ndio nakiona na mfano wake anafanya. Sasa iweje uhoji kazi kusema sio yake
 
Kwa nyie wazee ni rahisi kuamini hizo hadaa, maana miaka yote mmekuwa mkifanyiwa hadaa za aina hiyo. Hakuna matatizo ya kweli yanatatuliwa kwa maigizo ya kupita barabarani ukiwa juu ya VXR. Anachokifanya Makonda ni kutumia mbinu za kizee kuhadaa watu zama hizi.
Tena mbinu za kijinga sn
 
Bado hujanishawishi yule aliyevamia studio za kituo fulani akilazimisha jambo lake lifanyike? Au unamzungumzia yule aliyempiga makofi jaji Warioba au huyuhuyu waliyemuita Bashite !!!!
 
Back
Top Bottom