Nyota ya kijana wangu Makonda inang’aa sana! Mungu amtangulie

Ingekuwamo kauli ya aporomoshwe kama hajafanya toba ya kweli ningeeelewaaaamo🤔
 
Afike pale Mungu amempangia kufika !
Inaweza kuwa mahali pazuri au pabaya !
Itategemeana na matendo yake !
Ngoja Tusubiri tuone !!
 

Watoto wakikusumbua sana unawatafutia dude wahangaike nalo upumue kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo nchi ya magharibi ilikuwa inataka mtoto wako wa kiume aolewe na kidume mwenzake na hako katoto kako ka kike kaolewe na dem mwenzake. Sijui mdhulumaji wa haki ni nani hapo. Bure kabisa haya maufipa
 
hii inshu ya kuwekewa vikwazo na USA Ina jambo la NYUMA ya pazia, Wala SI la kisiasa kama watu wanavyojua Iko hivi
Wakati makonda Akiwa mkuu wa mkoa allikua ni jirani na BALOZI WA MAREKANI kimakazi pale oysterbay, mkabala na UWANJA WA FARASI, tatizo lilianzia pindi Makonda alipoongeza urefu WA uzio WA ukuta WA Nyumba yake, ukapanda juu zaidi ya nyumba ya BALOZI na akaongeza na CAMERA ambazo barozi alitafasiri kama zinalenga makazi yake,
Kitendo kilimukera BALOZI, akamuita makonda avunje ukuta na kupunguza urefu makonda akakataa, akamwambia aondoe camera Hilo nalo likapingwa na makonda,
Wakawa ni majirani wasiopatana hiki ndo kilipelekea kufika huko kupigiwa BANN
 
Kwa mtu mwenye uelewa mdogo atasema haya uliyoandika.
Anyway, ndio mwisho wa kufikiri kwako ulipoishia.
Ila kwa mwenye akili huyu hapana
 
Huyo kama nyota yake inang'aa, basi ni katika kudhulumu, haki za kuishi raia wengine!

Hakuna eneo linguine, ambalo utasema kuwa nyota ya huyo kijana wako inang'aa

Huyu aliyedanganya mchana kweupe kuwa Chadema wamependekeza tuwe na wabunge zaidi ya 700?
Huyu ambaye US walisema anadhulumu uhai wa binadamu wenzie?
Punguza uchawa
Huyo huyo aliyevamia Clouds TV Kwa mitutu ya bunduki?

Kama wewe ni chawa wake, basi ushindwe!
 
Hivi kazi ya mwenezi ni kutatua Kero za wananchi? Kwakweli tunahitaji katiba mpya haraka mno

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndio pahali penyewe.nakuuliza swali utaeneza kitu gan ikiwa huwez kuuliza jins ilan yako inavyotekelezwa? Umeahid maj wananch. Mwenye jukum la kueneza ilan anauliza wananch je maji hayo kama tulivyoahid hayajapatikana, mwenez afanyeje? Kama sio kummuliza anayehusika je hapa wananch wanalalamika maji na sisi tuliahid mbona imekua sio.hicho ndio nakiona na mfano wake anafanya. Sasa iweje uhoji kazi kusema sio yake
 
Tena mbinu za kijinga sn
 
Bado hujanishawishi yule aliyevamia studio za kituo fulani akilazimisha jambo lake lifanyike? Au unamzungumzia yule aliyempiga makofi jaji Warioba au huyuhuyu waliyemuita Bashite !!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…