Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Hivi kwanini!??Michael Jackson mfalme wa muziki wa pop dunian, huyu mwamba kipindi cha uhai wake alisumbua sana dunian.
Baada ya kifo chake, huyu mwamba imekuwa rahisi sana kusahaulika, tofauti na mastaa kama 2pac na Bob Marley.
Nini kipo nyuma ya hawa mastaa wawili 2pac na Bob Marley ambao licha ya vifo vyao mkapa leo bado nyota zao zinang’aa?
Sababu ni moja tu.Michael Jackson mfalme wa muziki wa pop duniani, huyu mwamba kipindi cha uhai wake alisumbua sana duniani.
Baada ya kifo chake, huyu mwamba imekuwa rahisi sana kusahaulika, tofauti na mastaa kama 2pac na Bob Marley.
Nini kipo nyuma ya hawa mastaa wawili 2pac na Bob Marley ambao licha ya vifo vyao mkapa leo bado nyota zao zinang’aa?
Michael Jackson mfalme wa muziki wa pop duniani, huyu mwamba kipindi cha uhai wake alisumbua sana duniani.
Baada ya kifo chake, huyu mwamba imekuwa rahisi sana kusahaulika, tofauti na mastaa kama 2pac na Bob Marley.
Nini kipo nyuma ya hawa mastaa wawili 2pac na Bob Marley ambao licha ya vifo vyao mkapa leo bado nyota zao zinang’aa?
umetumia kigezo gani, umefanya utafiti wapi na kwa njia ipi. we ndio umemsahau siye wengine tunamkumbuka sana, kila siku tunatazama na kusikiliza video zake.Michael Jackson mfalme wa muziki wa pop duniani, huyu mwamba kipindi cha uhai wake alisumbua sana duniani.
Baada ya kifo chake, huyu mwamba imekuwa rahisi sana kusahaulika, tofauti na mastaa kama 2pac na Bob Marley.
Nini kipo nyuma ya hawa mastaa wawili 2pac na Bob Marley ambao licha ya vifo vyao mkapa leo bado nyota zao zinang’aa?
Ushawishi kwenye jamii kingine walikua wanaongelea mambo reality kabisa ambayo yanatokea kwenye jamii kila siku tofauti na MJ
Sababu ni moja tu.
Tupac na Bob Marley walikuwa wanaharakati pia.
Nyimbo zao nyingi zilikuwa ni za ki-activist zaidi.
Lakini Michael Jackson yeye ilikuwa ni burudani tu.
Nyimbo nyingi za MJ zipo kwenye frictional character sio uhalisiaWakuu nyimbo za Michael Jackson mnazijua au mnaongea tu? Nendeni mkasikilize, They don't care about us.
Sababu ni moja tu.
Tupac na Bob Marley walikuwa wanaharakati pia.
Nyimbo zao nyingi zilikuwa ni za ki-activist zaidi.
Lakini Michael Jackson yeye ilikuwa ni burudani tu.
Kaangalie mauzo ya MJ kwenye streaming platforms, ufananishe na hao uliowataja halafu ujue nani bado nyota inang'aa.Michael Jackson mfalme wa muziki wa pop duniani, huyu mwamba kipindi cha uhai wake alisumbua sana duniani.
Baada ya kifo chake, huyu mwamba imekuwa rahisi sana kusahaulika, tofauti na mastaa kama 2pac na Bob Marley.
Nini kipo nyuma ya hawa mastaa wawili 2pac na Bob Marley ambao licha ya vifo vyao mkapa leo bado nyota zao zinang’aa?
Tupac alikuwa ana uanaharakati gani?Sababu ni moja tu.
Tupac na Bob Marley walikuwa wanaharakati pia.
Nyimbo zao nyingi zilikuwa ni za ki-activist zaidi.
Lakini Michael Jackson yeye ilikuwa ni burudani tu.
Unajua kwenye karne ya 20 ...mwanamziki aliyeongoza kwa ushawishi duniani ni Bob marley na ndio mtu mweusi aliyekuwa akiogopeka na hakuwa na nguvu ila silaha yake ilikuwa ni gitaaLabda Kwa sisi watu weusi.
Ukikaa na wazungu wengi ,au watu weupe wengi ambao ni wengi zaidi kuliko sisi weusi ,hawana habari sana na wakina Pac na Marley.
MJ ni popular Kwa race zote ukimuulizia.
Nyimbo za Pac na Bob zilikua za kiharakati kumhusu mtu mweusi, thus why wametukaa vichwani...sasa mzungu na harakati hizo wapi na wapi, wanataka burudani tu, na MJ alijua kutoa burudani.
Dah ifute hii comment basi ili isikuondolee aibuTupac alikuwa ana uanaharakati gani?
Jibu swali. Mi siogopi aibu.Dah ifute hii comment basi ili isikuondolee aibu
Kumjua Tupac km mwanaharakati kaanzie kusoma story ya bimkubwa wake ndio utamua vizuriJibu swali. Mi siogopi aibu.
Nilijua tu utarukia huko. Taabu yenu nyie Tupac stans huwa mnataka kulazimisha historia ya Afeni kuwa ndio ya Tupac.Kumjua Tupac km mwanaharakati kaanzie kusoma story ya bimkubwa wake ndio utamua vizuri