Nyota ya Michael Jackson imezimika haraka sana baada ya kifo chake tofauti na 2pac, Bob Marley

Nyota ya Michael Jackson imezimika haraka sana baada ya kifo chake tofauti na 2pac, Bob Marley

Nyimbo nyingi za MJ zipo kwenye frictional character sio uhalisia

Unabadilikabalika kama kinyonga. Mwanzo ulisema Michael hakuimba hizo nyimbo. Nimekupa mfano hai sasa unasema sio nyimbo nyingi. I'm not a fan of Michael Jackson lakini nataka nikuulize swali jepesi tu, who's most influencial person in the music history between Michael Jackson and 2Pac? Answer that question first then we can talk
 
IMG_20230606_040247.jpg
 
Nitajie hizo nyimbo nyingine za MJ zenye ushawishi kwenye jamii ukitoa mapenzi na burudani
 
Maua hunyauka, story huisha na kumbukumbu husahaulika...
 
Inategemea na interest ya mtu, you can't judge by using a single sample
 
Ushawishi kwenye jamii kingine walikua wanaongelea mambo reality kabisa ambayo yanatokea kwenye jamii kila siku tofauti na MJ
Nadhani tofauti kubwa ipo hapo. Bob na Tupac walikuwa wnaandika mashairi yanayogusa maisha ya watu wa chini kabisa. Tufauti na MJ
 
Wote bado wanazungumziwa sana, mj bado anafanya mauzo ya maana postmortem.

Influence yake ipo hadi leo, watu wanamuiga mj hadi sasa hasa fashion na entertainment.

Niseme tu watu wanaokuzunguka pamoja na wewe mwenyewe interest zenu ziko zaidi kwenye hiphop na reggae kuliko pop.
 
Sababu ni moja tu.

Tupac na Bob Marley walikuwa wanaharakati pia.

Nyimbo zao nyingi zilikuwa ni za ki-activist zaidi.

Lakini Michael Jackson yeye ilikuwa ni burudani tu.
Michael pia alikuwa activist... Na alijizolea sifa kwa Hilo! Tazama Ngoma zake!
 
Nadhani tofauti kubwa ipo hapo. Bob na Tupac walikuwa wnaandika mashairi yanayogusa maisha ya watu wa chini kabisa. Tufauti na MJ
Kwahiyo MJ Hana nyimbo ambazo zinagusa maisha ya watu wa chini? Are you serious?
 
Sijui huwa utafiti uliokupa Hilo hitimisho umeufanya kwa kuzingatia vigezo vipi. Kujua nyota ya nani inang'aa zaidi kati ya hao uliowataja inategemea media unzozisikiliza zaidi, maeneo unayotoka, watu unaojihusisha nao, kazi unayoifanya, kipato chako, elimu, yaani experience nzima ya maisha yako!

Ila ukifuatilia kidogo utagundua kiujumla nyota ya MJ Bado ipo juu kuliko hata Tupac na Bob Marley! Hasa ukitazama mauzo ya kazi zao! MJ yupo juu!

Kuna watu wanasema eti nyota ya MJ imeshuka sababu hakuwa activist kama Tupac na Bob Marley! Sijui wanaposema activist wanakuwa na maana gani au huenda hawamfahamu kabisa MJ! Wananishangaza zaidi wanaposema MJ alikuwa Hana nyimbo za kumtetea mtu WA chini! Wakasikilize nyimbo kama beat it, they don't care about us, heal the world, man in the mirror, earth song, black or white..... Halafu wabadili mtazamo wao!
 
Nilijua tu utarukia huko. Taabu yenu nyie Tupac stans huwa mnataka kulazimisha historia ya Afeni kuwa ndio ya Tupac.
Mbona hata nyimbo zake zinaonesha jamaa alikuwa mwanaharakati? Mfano sikiliza wimbo unaoitwa "Change"
 
Ukitoka nyumbani asubuhi ukaingia kitaa, ukirudi nyumbani utagundua kuwa njiani ulikutana na angalau mtu mmoja mwenye T-shirt yenye picha ya Bob Marley au begi lenye picha yake
 
Kuna nyimbo ngapi zenye theme kama huo wimbo? Ina maana walioimba wote ni wanaharakati?
Zipo nyingi! Sema unahitaji kutuliza akili! 2pac alikuwa ni miongoni mwa watu wenye akili kali sana! Ndiyo maana nyimbo zake zilitumika kufundishia mpaka Vyuo vikuu!

Si kila aimbaye ni mwanaharakati! Nadhani inategemeana na anachoimba! Wazungu wengi hawakumpenda! Aliwakemea
 
Nyimbo zake kutumika mashuleni haimaanishi kwamba alikuwa mwanaharakati. Nas, Jay Z na Kendrick Lamar wote lyrics zao zimetumika kwenye courses za vyuoni.
 
Back
Top Bottom