Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 1,513
- 2,019
Tupac &Bob wote walichangia kwa kias kikubwa kuhamisisha uhuni, usela mambo kama hayo na Sasa kizazi cha uhuni na usela kimeshamili hatari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajawahi kuwa member wa hiyo kitu. Nipe source ya hiyo claim yako.Tupac hajawahi kuwa member wa New Afrikan Panther? [emoji102]
Unakwama wapi ankoli fuatila maisha yake walivyo kuwa wakiishi Baltimore mwaka 1986.
Pia alivyoanza masomo yake katika high school ya Baltimore. Utajua mengi
Kuhusu documentary, zilishatoka documentaries kibao kabla ya "DEAR MAMA" The saga of Tupac and Afeni Shakur.
According to Bastfield(2002), Ayres (1992), Bruck (1997).Hajawahi kuwa member wa hiyo kitu. Nipe source ya hiyo claim yako.
Labda kuvuta bangiTupac alikuwa ana uanaharakati gani?
[emoji23][emoji23][emoji23]nilitaka nisikoment ila hii[emoji23][emoji23]Mleta mada acha kuchukulia mazingira yako ya Temeke halafu uka conclude Dunia nzima. Nani anmkumbuka Tupac na Marley zaidi ya wavuta Bangi wenzao?
Mwamba huyu hapa wa amapiano anakuambia MJ on this ... thrillerAmapiano hizo hazina kumuangalia MJ, watu wanatupa tupa mikono tu na kurembua macho
Mwamba huyu hapa wa amapiano anakuambia MJ on this ... thriller
Hiyo choreography ipo inspired na thriller na ndio maana alimtaja, nakuletea nyingine kutoka kwa Kamo MphelaAnaweza akasema ila stape hazionekani kama zinaendana na za MJ
Kwahiyo wakati anavuta ulikuwa hujazaliwa?katika ukuaji wangu nmekuwa nikisikia nyimbo za tupac na kuziona picha zake nikajua yupo hai, nmekuja kusikiliza history kumbe kavutaa kitambooo sanaa
Sababu ni moja tu.
Tupac na Bob Marley walikuwa wanaharakati pia.
Nyimbo zao nyingi zilikuwa ni za ki-activist zaidi.
Lakini Michael Jackson yeye ilikuwa ni burudani tu.
Halafu nilimsikia Innocent Nganyagwa anasema hip hop imetokana na reggae hasa aina ya reggae ragga ambyo hukosoa Zaid mambo ya kisiasaNakazia hapa
Plus Hip Hop na Raggae ni miziki yenye tamaduni na misingi inayo enziwa sana tofauti na aina zingine za miziki
Sababu kuu ni kwamba, MJ amekufa akiwa ameshashuka kimuziki.Michael Jackson mfalme wa muziki wa pop duniani, huyu mwamba kipindi cha uhai wake alisumbua sana duniani.
Baada ya kifo chake, huyu mwamba imekuwa rahisi sana kusahaulika, tofauti na mastaa kama 2pac na Bob Marley.
Nini kipo nyuma ya hawa mastaa wawili 2pac na Bob Marley ambao licha ya vifo vyao mkapa leo bado nyota zao zinang’aa?